Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa tunaendelea
dar 6] uhuru heights 27 fl
CD960E90-3561-4CCF-9D6A-CF94783C3A86.jpeg
 
IMF ilishawaonya kua debt to GDP ratio imefika 60% na wameshavuka red line, na nilimsikia mchumi mmoja akieleza kua kenya anakopa pesa nyingi kuchuana na tanzania na kusahau kua tanzania ina resources nyingi sana na nyungi ndio zinaanza kutumiaka sasa hvi, mfani mdogo ni SGR kenya kafanya mambo kwa pupa ili awahi kumbe kajiingiza kwenye loss ambayo itagharimu nchi miaka mingi sana na alionywa na world bank so imagine phase 1 kapigwa 3.8 billion bado riba hapo

wakat tanzania imejijikakamua kutoa pesa zake za mfukoni 3.16 b kujenga phase mbili kwa mpigo tena kujenga modern electric train with high speed, na ukumbuke tanzania bei sio kubwa kwasababu ya land is owned by gvt
Yote hayo wanayajua vizuri sana, Dr. David Ndii anawaambia kila mara lakini hawasikilizi, kuna wakati aliwaambia kwamba ni vema hiyo SGR ikaishia Nairobi, kutoka Nairobi hadi Kampala, waikarabati RVR, hawamsikilizi, ndiyo sababu anakua na hasira muda na anaongoza kampeni ya kujitenga.

Kenya wakumbuke kwamba, Geographically ina bahati mbaya sana, kupakana na Somalia, South Sudan na Ethiopia, zote hizo hazina biashara ya maana, badala yake ni vita na maugomvi ya koo za mipakani, nchi pekee wanayotegemea ni Uganda, pia nchi yao Mungu hakuijalia mali asili nyingi kama Tanzania, viongozi wa Kenya walipaswa kulijua hilo na kufanya miradi ambayo uchumi unaweza kuhimili, wao wanadhani kushindana ili kuonekana wapo mbele ndiyo muhimu, ni sawa na Hiace kukimbizana na Range Rover, hata kama imetangulia umbali gani, itapitwa wakati mwenye Range wala hajui kwamba mwenye Hiace anashindana.
 
zote zimekamilika. Mbona unaanza kulia tena
Between 10F and 25F
1.PSPF Tower |24F | COMPLETED
2.NHC Tower |23F| UC
3.Quality Boulevard|22F |U/C
4.Benjamini Mkapa Towers Tower |22F |Completed
5.City Plaza | 22F | U/C
6.KHAKI PLAZA|22F|
7.Viva Tower Tower 1| 21F | COMPLETE
8.Viva Tower Tower 2| 21F | COMPLETE
9.BOT tower North|20F|100m|Completed
10. BOT Tower South|20F|100m|Completed
11.NHC Victoria palace |20F| U/C
12.Dar es Salaam|Sanaa Tower|20|U/C
13.Al Karimo Plaza|20F | U/C
14.NSSF Ilala Mafao House|20F|COMPLETE
15.Ushirika towers | 20F | COMPLETED
16.KKOO Mall |Completed |20F
17.Kilimanjaro Towers|20F|
18.Samora Tower | 19F | COMPLETED
19.Bakhressa Tower |18F| U/C
20.PPF Tower |18F|Completed
21.Mixed used tower block|18F |
22. Storey Tower|18F|
23. Mindu apartments |18F| Completed
24.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 1|18F| U/C
25.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 2|18F| U/C
26.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 3|18F| U/C
27.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 4|18F| U/C
28.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 5|18F| U/C
29.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 6|18F| U/C
30.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 7|18F| U/C
31.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 8|18F| U/C
32.NHC Seven Eleven @Kawecity tower 9|18F| U/C
33.NHC Mindu Residential Apts | 18F | U/C
34.Dar es Salaam Ministry of Foreign Affairs |17F|
35.Batenga's |17 Floors| U/C
36.Kitonga Street Project, Upanga 17F| U/C
37.Saudi Arabia Inv Tower | 16 F | COMPLETED
38.Ushindi Residential Apartments Block 1 | 16F| U/C
39.Ushindi Residential Apartments Block 2 | 16F| U/C
40.Ushindi Residential Apartments Block 3 | 16F| U/C
41.KALENGA, UPANGA, APARTMENTS 16F |COMPLETED
42.Tanga Bohra Project | 16F | Completed
43.Nyongoro Tower 1 Project, Upanga |16F |U/C
44.Nyongoro Tower 2 Project, Upanga |16F |U/C
45.Exim Tower |16F| Completed
46.Kitega Uchumi Buidling |16F| Completed
47.GEPF Tower | 15F | COMPLETED
48.Victoria Plaza |15F| COMPLETED
49.Zanaki Street Project | 15F| Completed
50.NHC-Ngano Housing Estate |15F|
51.Wakulima Eco-Residence Tower 1|16F|U/C
52.Wakulima Eco-Residence Tower 2|16F|U/C
53.Zahra Arcade Mixed-use Tower 1 | 15F | U/C
54.Zahra Arcade Mixed-use Tower 2 | 15F | U/C
55.Canal Residency | 15F | COMPLETED
56.TAN-RE Square|15F |U/C
57.Upanga Apartment block | 15F | COMPLETED
58.Crystal Tower | 15F | U/C
59.Extelecoms House |15F| Completed
60.Sea View Tower | 15F |
61.NHC House along Samora Avenue |15F |Completed
62.Mawasiliano Towers |15F|Completed
63.KARMALI TOWER| Proposed
64.Dar es salaam|PALOMA PARK|14 FL|U/C
65.Tan House | 14F | COMPLETED
66. Fakyat Tower |14F|UC
67.Posta House |14F| Completed
68.Sabodo Parking Tower|14F|COMPLETED
69.Ushirika Tower 2 |Complete | 14F
70.CCM Building, Mvumi Street, Upanga 13F |U/C
71.Magore Street Project 13F|Completed
72.Elite Tower | 13F | COMPLETED
73.IT Plaza |13F|COMPLETE
74.Express Hotel|13F|U/C
75.Sea View Apartments |13F | COMPLETED
76.DSM Maritime Institute Tower |12F |
77.MARIFA BAY BUSINESS CENTER|U/C
78.Green Apartments, |12F |U/C
79.Sea Castle Tower|12F|COMPLETED
80.Ohio Office Park | 12F | Completed
81.Jafree Towers Project Tower 1 Upanga |12F | U/C
82.Jafree Towers Project Tower 2 Upanga |12F | U/C
83.Jafree Towers Project Tower 3 Upanga |12F | U/C
84.Kishan Tower |12F|U/C
85.Saphire Heights. Dar es salaam |11F|| COMPLETED
86.NSSF WaterFront |11F|Complete
87.Jangwani Apartments |11F | U/C
88.NIDA HQ |11F|
89.New NHC Place HQ|10F|COMPLETE
90.Mlimani Tower |10F|Complete
91.Upanga Heights|10F|UC
92.Kush Apartments Upanga, 10F |Completed
93.Msasani KKKT Mixed Use Building 10F | Completed
94.Mpingo Village Building 1|10F
95.Mpingo Village Building 2|10F|
unaona sasa ulivyo mpuzi? under 20flrs to 15flrs ni kama zaidi ya mia mbili hapa Nairobi. sina mda huo
 
List yangu hii hapa

these are completes 20+ floors in
Nairobi
1. Britam tower complete 33flrs
2. UAP/Old Mutual Tower complete 33Flrs
3. Times Tower complete- 38flrs
4. Teleposta Tower complete - 27 - (These are 3 towers of 27, 25 and 23)
5. NSSF complete - 28flrs (two towers)
6. Cooperative bank tower complete - 25flrs
7. KICC complete - 28flrs
8. Hilton hotel complete- 24flrs
9. Anniversary Towers complete - 28flrs
10. Nyayo house complete - 27flrs
11. Rahimtula Tower complete - 22flrs
12. Ambank House complete - 22flrs
13. Delta Center complete - 21flrs
14.Delta corner tower A complete - 21flrs
15.Delta corners tower B complete - 21flrs
16. KCB Tower complete 23flrs
17. National Bank Tower complete 21flrs
18. Uchumi House complete - 21flrs
19. Hazina tower complete - 25flrs
20. Lonrho House complete - 22flrs
21. Reinsurance Plaza complete - 20flrs
22. Viewpark Tower complete - 20flrs
23. Ecobank Tower complete - 20flrs
24. the Bazaar complete - 20flrs
25. Afya center complete- 21 floors
26. fourth Ngong avenue tower complete 25flrs
27. University of Nairobi tower complete 22 flrs
28. Golf course hotel complete 21flrs


These are topped out 20+ floors towers
30. prism tower t/o 34flrs
31. First community bank tower 25flrs
32. Lemac tower t/o 26flrs
33. parliament tower t/o 26flrs
34. Kings dinstinction t/o 20flrs


Under Construction
35. one africa place u/c- 23 flrs
36. Upper Hill Chambers - 28flrs
37. the pinacle Tower 1 - 60flrs
38. the pinacle tower 2 - 45flrs
39. Avic tower 1 - 43 flrs
40. Avic tower 2 - 35 flrs
41. Avic tower 3 - 28 flrs
42. Avic tower 4 - 25 flrs
43. Avic tower 5 - 24 flrs
44. Avic tower 6 - 24 flrs

Na bado kuna zengine nimesahau
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] times ni 30flr
Huoni aibu ata roho inakuuma
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yimes ni 30flr
Huoni aibu ata roho inakuuma
nilishaona ujanja wake ndio maana nikamwambia aweke picha moja baada ya moja ili niende nae sawa nashangaa kakimbia😀😀😀😀 alijua kuna mtego mbele yake
 
Yote hayo wanayajua vizuri sana, Dr. David Ndii anawaambia kila mara lakini hawasikilizi, kuna wakati aliwaambia kwamba ni vema hiyo SGR ikaishia Nairobi, kutoka Nairobi hadi Kampala, waikarabati RVR, hawamsikilizi, ndiyo sababu anakua na hasira muda na anaongoza kampeni ya kujitenga.

Kenya wakumbuke kwamba, Geographically ina bahati mbaya sana, kupakana na Somalia, South Sudan na Ethiopia, zote hizo hazina biashara ya maana, badala yake ni vita na maugomvi ya koo za mipakani, nchi pekee wanayotegemea ni Uganda, pia nchi yao Mungu hakuijalia mali asili nyingi kama Tanzania, viongozi wa Kenya walipaswa kulijua hilo na kufanya miradi ambayo uchumi unaweza kuhimili, wao wanadhani kushindana ili kuonekana wapo mbele ndiyo muhimu, ni sawa na Hiace kukimbizana na Range Rover, hata kama imetangulia umbali gani, itapitwa wakati mwenye Range wala hajui kwamba mwenye Hiace anashindana.
hata huyo mchumi aliongea hvo hvo kenya inataka kushindana na tanzania wakat haina resources matokeo yake wanakopa pesa ambayo inazidi kuwagharimu
leo angalia kq inavokufa huku inajiona , na walionywa wapunguze ndege walizo lease ili wapate hafueni ya loss amerudisha kama ndege 6 hvi lakin bado mkaidi ili tu aonekane ana fleet kubwa lakini loss inazidi kuwatafuna kila mwaka, shirika linakufa vibaya sana huku idadi ya watalii wanayoitegemea inazidi kuporomoka zaidi na zaidi, hata kampuni ya tullow imetupia mbali plan ya kujenga pipeline na badala yake watasomba kutumia gari kwasababu kaona hasara ajenge pipeline 700km alaf kwa siku pipeline inapitisha 2000 drums mambo yamezidi kua magumu sasa ameona ili asionekane ameingiza nchi kwenye hasara ameanz kumlilia mganda asimtose kwenye SGR
 
Eti hichi ndo wanasema ni 38[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uku kina 30
Tena juzjuz2 ndo wamebadili wikipedia
Itabidi nianze kuirekebisha sasa
hawa dawa yao ya uongo ipo mbona😀😀😀
 
Back
Top Bottom