President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
Kenya halisi wanaijua viongozi wao. Wakenya wa kawaida hawaijui Kenya.Hawa hawatujui, huwa hatufanyi kitu kwa kukurupuka hizo kelele baada ya wiki zitaisha na hawatafanya chochote,
Waliwahi piga kelele sana tulivyomtoa nduku waziri wao wa uchukuzi kuingia Tanga port na vitisho kibao, ila mpaka leo kimyaa
Maumivu yakizidi muone daktari.Mlikosa hela ya repair running trails mkaona mbandike makapeti
Kisingizio cha free movement of peopleHakuna protocol (MoU) ya EA member kwenda kufanya biashara nchi nyingine Kama upo mkataba naomba uuweke hapa.
Wakenya wameanza kukupotosha kwenye media kaka.
Mkuu mimi sipotoshwi na mtu yeyote huwa nasimamia kile ninacho amini. Kama protocol ya EA inaruhusu hivyo tutakuwa hatuna jinsi ndio namaanisha hivyo.Hakuna protocol (MoU) ya EA member kwenda kufanya biashara nchi nyingine Kama upo mkataba naomba uuweke hapa.
Wakenya wameanza kukupotosha kwenye media kaka.
Who told you they are not coming?Nyie ambao ni mature achieni eggs, milk and other key farm produce from Uganda kuja Kenya kwanza tuone labda tutawaiga hapo baadae😁
Asije akabadili hadi uraia tu😂😂😂 maana hawa makabachori hawatulii sehemu moja.ww kweli ni ng'ombe ulitaka acheze wap?
View: https://x.com/bracuszcadabra/status/1950640681506283903?s=46
Free movement ni utalii, na biashara kwenye mfumo rasmi siyo kufanya umachinga.Kisingizio cha free movement of people
Hizo buses ziko mingi. Zingine zikiwa branding.So, itabidi wengine wasubiri wkt team moja inapelekwa uwanjani? Msioneshe umaskini wenu kila sehemu jmn.
Ni MsomaliAsije akabadili hadi uraia tu😂😂😂 maana hawa makabachori hawatulii sehemu moja.
Is our economy in reality not bigger than Kenya au?Do they accept you as a big brother au shobo lako tu??
Wakati nilikuwa nawaambia crops that come to Kenya from Tanzania are farmed by Kenyans mlikuwa mnapinga. Si umeona nilikuwa right all along?
Is that bus 7 meters according to you?Soma bullet point ya kwanza 👇
Kenya: New rules on the import of used vehicles
Kenya has published. Public notice on DKS 1515 Road Vehicles - Inspection of Road Vehicles - Code of Practice.igarr.com
It's biggger, no doubt.Is our economy in reality not bigger than Kenya au?
Watanzania in Kenya hawana uwezo wa kumiliki car yards. Nyinyi mnapatikana kule Barbarani mkiomba chakula na pesa.
Kuna famers wapo kutoka Kenya, ila ni very few na we know them.Wakati nilikuwa nawaambia crops that come to Kenya from Tanzania are farmed by Kenyans mlikuwa mnapinga. Si umeona nilikuwa right all along?
Wewe kweli ni mjinga, who told you lazima ikuwe na passport ndio uingie Kenya? Mambo ya East Africa free movement hujui? Oooh pole, nilikuwa nasahau wewe ni myemen na hujui what happens in East Africa.mbona hatuwah kuwaona wakirudishwa kwanza wanaingiaje kenya bila passport?
Hamna kosa, ila mna roho mbaya na unafiki.Kosa la TZ ni lipi hapo?
So, You are too weak to even deport lames?Watanzania in Kenya hawana uwezo wa kumiliki car yards. Nyinyi mnapatikana kule Barbarani mkiomba chakula na pesa.