Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya mm naanza hii ni TPA 40fl
FF1B01D1-9202-477F-9740-5948A9CD79C5.jpeg
 
mm nataka jengo kwa jengo ujanja wa list siutaki nataka kila kitu kiense mubashara weka jengo niweke jengo uoga wa nn mbona wenzio waliweka picha ya jengo 😀😀
punguza nidhamu za kike 😛😛😛😛
na leo ningekubana makende kisawasawa mpaka ungenichukia
kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kupitia vyanzo
 
kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kwa official links
nimeshaanza weka picha na jina la jengo twende kazi nidhamu za uoga waachie mademu😀😀😀😀😀
twende kazi baba
 
kwa nini hutaki kuweka listi yako hapa kila mmoja aone. wacha woga wa kike. weka kila kitu wazi kisha kama kuna jengo lolote linaleta tashwishi tunalichambua kupitia vyanzo
bahati nzuri umekutana na mtu anaewajua wakenya vyema sasa mm ujanja wenu hua naujua na pia najua kuushibiti haya twende am waiting😀😀😀😀
maana nairobi walker alipoona kazidiwa sasa akaanza kuleta na underconstruction building wakat sisi hatukuingiza hata moja😛😛😛😛
 
sikiza ndugh.... kila mtu anajua vile TPA linakaa. wewe kwanza lete listi ya No. 1 - 12 ya majengo yote ya dar. weka hapa usione haya
hahahahha akili kichwani mwako ushindani umekuahinda 😀😀😀😀😀😀😀 na ningekubana hayo makende kisawaswa kama nilivombana mzee wa iphone 7 bandia
 
bahati nzuri umekutana na mtu anaewajua wakenya vyema sasa mm ujanja wenu hua naujua na pia najua kuushibiti haya twende am waiting😀😀😀😀
maana nairobi walker alipoona kazidiwa sasa akaanza kuleta na underconstruction building wakat sisi hatukuingiza hata moja😛😛😛😛
wacha kulia lia sasa lete listi yako. kulialia haikusaidii hapa
 
Huwa nikiwafikiria wakenya na akili zao zilivyo ndogo, huwa ninachanganyikiwa kabisa, hivi kweli mtu mwenye akili timamu anaweza kujisifia kuwa na millionea 1000, wakati ndugu zake millioni 4 wanakufa kwa njaa?.

Wakenya mna matatizo mengi sana ya msingi nchini kwenu, millions of your people live in slums without water and sanitations, millions more are jobless, hivi kweli bila aibu mnajisifia utajiri wa watu 8300 ambao wameshikilia 62% of your GDP, really?
Joto la Jiwe,hawa jamaa hawaamini kwamba kwao kuna njaa.?kuona ni kuamini.
Haya,Low middle income njooni huku muone.
a7df642c71a9b125d19c9d07e0d4a98e.jpg
b436abd8ad2a99ab745589921c0e39e8.jpg
a481e0a731a81f82056b54527e47f489.jpg
ef14f0bf3e0ba6a5d9f7037a6bc56724.jpg
86e7573f49eef3d511536a0e010ae3a6.jpg
 
hahahahha akili kichwani mwako ushindani umekuahinda 😀😀😀😀😀😀😀 na ningekubana hayo makende kisawaswa kama nilivombana mzee wa iphone 7 bandia
uzi wa over 20+ flrs ulianza kuweka vitu vya 12flrs.... wewe lete listi kama vile nilivyofanya hapo kisha tuchambue yale majengo yanayoleta tashwishi
 
uzi wa over 20+ flrs ulianza kuweka vitu vya 12flrs.... wewe lete listi kama vile nilivyofanya hapo kisha tuchambue yale majengo yanayoleta tashwishi
haya niwekee picha ya majengo matano nasubiria leo sitakuacha hvi hvi😀😀😀😀😀😀
mm ndio fundi wa kutibu ujanja na uongo wa wakenya
 
haya niwekee picha ya majengo matano nasubiria leo sitakuacha hvi hvi😀😀😀😀😀😀
mm ndio fundi wa kutibu ujanja na uongo wa wakenya
sasa kwenye hio listi yangu kuanzia No. 1 mpaka 5 ni jengo gani hulijui ambalo wataka kuliona kwa mara ya kwanza?
 
Joto la Jiwe,hawa jamaa hawaamini kwamba kwao kuna njaa.?kuona ni kuamini.
Haya,Low middle income njooni huku muone.
a7df642c71a9b125d19c9d07e0d4a98e.jpg
b436abd8ad2a99ab745589921c0e39e8.jpg
a481e0a731a81f82056b54527e47f489.jpg
ef14f0bf3e0ba6a5d9f7037a6bc56724.jpg
86e7573f49eef3d511536a0e010ae3a6.jpg
Hili ndilo tatizo lao, wanaishi maisha ya kufikirika sana, hawataki kujua na kukubaliana na ukweli, Kenya hali ni mbaya sana katika maeneo mengi sana, hata uchumi wa nchi yao upo kwenye hali mbaya, hata hili wanalijua na IMF inawakumbusha kila mara lakini hawataki kukubali, wanalazimisha kuonekana hali ni nzuri kwa kuonyesha flyovers, shopping malls na Super highway.

Mimi ningekua mkenya ningejiuliza, hivi hii GDP yetu kubwa, au hao mamilionea wetu wengi, mbona bado tunaongoza kwa namba kubwa ya vijana wasio na ajira?, mbona bado tunaongoza kwa njaa hapa EA?, mbona bado tunaongoza kwa slums nyingi na kubwa hapa EA, mbona bado tunashida ya maji katika miji mingi hadi kipindupindu kinasumbua katikati ya Nairobi?. Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo GDP kubwa inapaswa kuyatatua, sio shop malls milionea wengi.
 
TPA |40F

3.Kakakuona Tower|36F |Site Clearing
4.PSPF Tower A|35F |153m |COMPLETE
5.PSPF Tower B|35F |153m |COMPLETE
6.Mzizima Tower Office |35F |U/C
7.Mzizima Tower Residential|33F|U/C
8.Dar es Salaam City Center Promise Tower |35F| Proposed
9.PPF HQ |40f
10. MNF Tower 1 |32F |
11.MNF Tower 2 |32F |
12.Uhuru Media Tower |32F|
13.Rita Tower |30F |COMPLETE|
14.Millenium Tower II|30F |COMPLETE
15.Dar es salaam Stock Exchange |30F|
16.NHC Independence plaza |30F+|
17.NHC Giraffe Tower |30F+|
18.NHC 50th Avenue Tower 1| 30F+|
19.NHC 50th Avenue Tower 2| 30F+|
20.NHC Morocco Square Tower 1|30F|
21.NHC Morocco Square Tower 2|30F|

23.NHC-Mixed Used Blocks on Plot No. 300 Tower 1|27F|
24.NHC-Mixed Used Blocks on Plot No. 300 Tower 2|27F|
25.NHC Golden Anniversary Building |26F|
26.Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
27.Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
28.Uhuru Heights | 25F |
29.TPA INVESTMENT PROJECT|25F |
30.Dar es Salaam|TPHA Tower|25|
31.NHC Bank Ico tower|25F+|
32.NHC Morocco Square Tower 3|25F
 
Back
Top Bottom