Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Broo sijui tunabishania nini wakati treni ya mizigo bado haijaaanza kazi,kinachoendelea sasa ni majaribio tuu, kumbuka bandari inatema mizigo 24/7 sasa ukisema zitakua zinatembea usiku pekee yake ni kama utakua umezilimit
 
Broo sijui tunabishania nini wakati treni ya mizigo bado haijaaanza kazi,kinachoendelea sasa ni majaribio tuu, kumbuka bandari inatema mizigo 24/7 sasa ukisema zitakua zinatembea usiku pekee yake ni kama utakua umezilimit
watu wajuaji humu ndani!
 
Sisi huwa hatulii mitandaoni bali tunachukua hatua haya na nyinyi igeni basi kama sio wenu hao

View: https://x.com/MwangoCapital/status/1950186786585756024?t=NtV3Nx10QfKx3hjvhdzxWg&s=19
Sisi tunafanya mambo yetu ya ndani kwaajili yetu sasa mbona milio inatokea nje ya nchi? Na nyie fanyeni ya kwenu kila mtu na nchi yake kuliliana ya nini sasa? Is our domestic policy affecting our neighbours? kweli domestic policy ya Mexico inaweza ikaathiri USA Eti wamarekani wanalilia kujihusisha na biashara ndogondogo Mexico😁
 
Tofauti ni maturity between hizi nchi mbili... nyinyi huwa mnaongozwa na emotions na utoto
Hata Japan a foreigner haruhusiwi kununu gari directly kwa raia lazima umtafute mjapan anunue on your behalf ndio akutumie kwenu na yeye anapata commission kidogo. Hiyo ndio sera ya kuinua wananchi kimaisha iko kotekote hata nchi za first world wana sheria kama hizo foreigner hawezi kufanya biashara kiholela hivyo.
 
Kenya buses za second hand hayakubaliki, ama unadhani Sisi ni maskini kama nyinyi. Alafu hiyo box ya kichina is cheaper than even the buses that are manufactured locally by Master Fabricator and AVA.

 
Kampuni ya muingereza
 
Sijui wanachelewa wapi hawa jamaa kufanya hivyo kiukweli , Tanga port inayo potential kubwa mno ya kufanya mapinduzi na Kuwaliza hawa wehu wa Kunyarenda.
Tanga Port can efficiently serve Uganda, Rwanda, Burundi and Eastern DRC. Dar Port ibaki na Zambia, Malawi, DRC Lumbumbashi na other SADC countries.
 
Stronger country paying 700 to casual labourers 😄😄😄
 
Sasa 20B madafu money ni pesa?
Tunazungumzia USD 9 million. Nioneshe klabu yoyote hapo Kundustan hata changanya klabu tano zote zi match ufadhili kama huu. Na hapo ni mdhamini mmoja tuu na bado other sponsors
1. Betway USD 9m
2. Kit Maker USD 15m
3. TV rights USD 5m
4. Others Sponsors (MO Cola etc)
5. NBC Premiership
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…