Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Songoro anatengeneza vivuko.Hizi songoro anatengeneza imekuaje zitoke uturuki? Au ndo grant!!
Nipatie kaka tutengeneze wimboNikupe jina lake halisi ili ulitumie kwenye wimbo? Ndo itanoga zaidi!
Lahaulaaaa 😮Eastleigh inayopostiwa upande upande.
View attachment 3411908View attachment 3411909View attachment 3411910View attachment 3411911
Ukiwa unexposed usifhani wote ni kama wewe. I have eaten at Starbucks severally. Wewe najua hata hujui menu Yao kanafanana aje.Kuna yule fala huwa anaona big deals sana kuhusu hizi vitu, yule anayetamba kula KFC sijui kwenye hili atajisikiaje. 😂😂😂
Watakuambia hao ni wasomali utafikiri hapo ni Mogadishu kumbe hapo hapo chini ya kende zao😂. Ila watapost ile Mall kubwa ya wasomali na kusifia hapa Kenya 😂.Hii Eastleigh ni chafu kuliko Kibera, Kenya ni chafu mnoo 🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤮
Hata speed boats anatengeneza!Songoro anatengeneza vivuko.
Sijaona speedy boats
Zanzibar ni beaches.Hivi mnajua uwanja wa arusha umejengwa pembeni ya NHC project Safari city.? 👇🏾 View attachment 3412064wenyewe walikua waneshaanza ujenzi 😄 👇🏾View attachment 3412065hopefully it will resume anytime soon, we make it happen.
My take:-
Arusha imepata fursa ya kutengeneza mji mpya within the city of Arusha. So many development projects to come out.
Arusha iko na potential ya kuwa better kuliko Zanzibar or elsewhere in EA as far as tourism is concerned.
BTW mziki wa Zanzibar ni mwingine vile visiwa vilivyokodishwa ujenzi wa facilities ukiisha sijui kama kutakuwa na upinzani upande huu wa Africa wa Indian ocean!Zanzibar ni beaches.
Arusha ni SAFARI.
LADHA tofauti