Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,051
- 5,428
Mimi sio yesu, sionyeshi vipofu. Thank youAccording to you, those two pictures are of the same place?
Vituko hivi mnaendelea navyo?According to you, those two pictures are of the same place?
Spoken like a true quack, bongoslum just like many African countries has a very high shortage of radiology machines (MRI & CT Scans). Lack of infrastructure, radiologists and high cost of imaging isikufanye ufikirie kama pumbavu, eti people don't need radiology services. MRI for example are very crucial in diagnosing crucial body organs. Now I understand mbona public hospitals zenu nyingi haziwezi kuperform surgeries on critical internal body organs. It's because they lack proper infrastructure, ndio kwa maana unadhani 14 MRI Machines are enough for a country with almost 70 million people.Ona hii jamaa.
Kwanza unajua MRI na CT scan zinapima vipimo aina gani!?
Fanya ratio kwa mwezi hivyo vipimo vinatumika kwa watu wangapi.
Pia fanya ratio hospitali za kanda ziko ngapi.
Unaweza ukakaa mwezi mzima waliitumia MRI wasifike hata 20.
Hivyo vipimo sio vya kutumika mara kwa mara.
Ndio maana zilichukuliwa kwa kuhudumia kikanda.
Ama upo kanda ya kaskazini utatoka uende hospitali ya kanda ya kaskazini ukapatiwe vipimo vya MRI.
Unanunua kwa Kulenga mahitaji.
Tumia akili wewe.
punguza kelele leta hizo 19 MRI zilizobaki!Spoken like a true quack, bongoslum just like many African countries has a very high shortage of radiology machines (MRI & CT Scans). Lack of infrastructure, radiologists and high cost of imaging isikufanye ufikirie kama pumbavu, eti people don't need radiology services. MRI for example are very crucial in diagnosing crucial body organs. Now I understand mbona public hospitals zenu nyingi haziwezi kuperform surgeries on critical internal body organs. It's because they lack proper infrastructure, ndio kwa maana unadhani 14 MRI Machines are enough for a country with almost 70 million people.
nairobae stop dreaming about that render for ur river! Here is ur reality!!
I love it
View: https://youtu.be/yQBkrwlPAcM?si=XHwZBUlSU_kjZ4uGKwa sasa BRT ni Cashless halafu tunaenda kwenye clean energy plus ubaridi ndani ya mabasi 🔥
Hata kama wakimaliza ujenzi wa sgr mpaka malaba bado kwa kutumia reli ya sgr tunaweza safirisha kwa gharama ya chini sana mpaka mwanza na ukafika Uganda kwa bei ya chini ya Ile ya sgr Kenya kutokana -Wakiwahisha mambo mzigo wa SGR Uganda unaweza kupita either Tanga au DSM port badala ya Mombasa.
Hadi sasa logistical analysis inasoma 50/50 kati ya Bongo na kunyaland kwenye kupitishwa mizigo hiyo. Ni wakati muafaka Sasa kwa GoT na TRC kufanya namna ya kumshawishi Uganda Railway. Najua sio kazi sana maana TRC ndio wame revamp hiyo reli ya UG Hadi Port Belly. Hivyo wanaweza kushirikiana kubeba mzigo huo kwa loco na wagon zao kwa pamoja. Tuwape njia yetu waitumie tu freely.
Duuuh sasa kama huku pako hivi siku zile affordable housing zitakapoisha itakuwajenairobae stop dreaming about that render for ur river! Here is ur reality!!
Yaah! Iliwahi Nikita mwezi wa 5 watu wanasafiri Sana aise afu watu wanakata tiket Juu tuu siku hizi hawataki kubabaishwa.Demand ya seats ni kubwa mkuu. Tanzanians ndio taifa amabalo watu wake wengi wanasafiri sana. Hata mabasi siku hizi lazima ukate ticket a day before au mapema asubuhi kama unasafiri usiku bila hivyo hupati seat.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ile jambo moja makini ni kuhusu handling. Lift on na lift off ... Kama zitatumika reli za standard tofauti au kama zitatumika reli then Bus au reli ya aina nyingine. Hapo kunakuwa na additional cost na pia risks ya ku secure mzigo kwa kufanya proper lashings.Hata kama wakimaliza ujenzi wa sgr mpaka malaba bado kwa kutumia reli ya sgr tunaweza safirisha kwa gharama ya chini sana mpaka mwanza na ukafika Uganda kwa bei ya chini ya Ile ya sgr Kenya kutokana -
1) gharama ya ununuzi wa mafuta na umeme , gharama ya diesel Inaweza kuwa 3 ya gharama ya umeme. Kuna bei tukiweka wakenya hawataweza kuweka kamwe au kushuka .
2 sgr kukosa wider market au mzigo wa kurudi bandarini hivyo kutegemea mzigo wa bandari tu, sisi pale isaka kutakuwa na mzigo wa nickel kutokea kabanga iliyopo kagera , pia kuna mizigo ya cobalt na kadhalika kutoka Kongo na Burundi.
Kama tukiweka bei ya usd 700 kwa container la 20ft mpaka mwanza plus 450usd ya kuvusha kwa maji mpaka portbell , yaan dar Uganda isizid 1300 lazima wateme mbung'ooo
Kuna wagons ambazo huwa zinaweza kutumiwa kwenye reli tofauti tunaweza zitumia hizoNakubaliana na wewe kwa asilimia zote. Ile jambo moja makini ni kuhusu handling. Lift on na lift off ... Kama zitatumika reli za standard tofauti au kama zitatumika reli then Bus au reli ya aina nyingine. Hapo kunakuwa na additional cost na pia risks ya ku secure mzigo kwa kufanya proper lashings.
Kwa MGR yetu unaona kabisa hakuna double handling walaaa mambo ya lashings and unleashings.. kikubwa tu hapo ni assurance ya locomotive za kutosha na wagon za kutosha bhaas.