Wanajua kunusa opportyunity hawa nyangau wa kizungu. cashless transaction zimefika 26 Trillion in 2024
Ni kweli hatufungamani na yoyote, lakini siyo kwamba ndio tusitumie akili.Hatufungamani na upande wowote lakini kaka.
Hata hao North huwa tunawatumia kwenye maboresho ya silaha ikiwemo kufanya upgrading japo serikali huwa inakataa kuwa hatushirikiani nao.
mimi naudhika sana kwann jengo la abiria halijakamilika! Mwanza ina potential kubwa sana kuwa J'burg ya East Africa!Hii ni Air Tanzania kwenda Mwanza siku mbili kabla. Hii maana yake ni nini?
View attachment 3409876
Sidhani kama ni sahihi kuita tu watu na kuja kuwajaza hapa wakati, huna shida nao.Naongelea wale ambao wana genius level of intelligence, hawa ni once in a few generations type of people. Kwa ujuzi walionao, tungefaidika sana ila ndo hivyo, tulishawakosa. Tutaambulia vipanga wa kawaida, kama yule jamaa aliyekuwa Sweden, aliyetengeneza mfumo wa eGov.
#Korea ya Kusini#CCM diplomacy intelligent ni wapumbavu kweli, hivi mkutano wa juzi waliwaalika Chama cha Kim na wanajua Korea kaskazini waliahidi kutupa mkopo nafuu wa matrilioni ambao ungeleta mapinduzi nchini, hivi hawajui uhasama uliopo kati ya mataifa haya mawili? Korea kusini wakiamua huu mkopo usitoke wana wa kumlaumu? Hivi hawa Korea kaskazini waliwahi kuipa Tanzania nini?
View: https://x.com/TheChanzo/status/1928423853749080553?t=WojKVqECZim2FIRvwa5fxA&s=19
View: https://x.com/TZMsemajiMkuu/status/934423586617602049?t=LDugXu8JpkAcWD27XuN-Dw&s=19
View: https://x.com/mfa_tanzania/status/1798567118478454856?t=ZpOetAMNtbuQpGWwll3_DQ&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1797235627366269207?t=dGKSjXbGHOc1hpuXIctXbw&s=19
View: https://x.com/millardayo/status/1585561036819775489?t=ygPAd9-w6HrYYJ2BOJ4EmQ&s=19
View: https://x.com/JamiiForums/status/1796108472695529790?t=e_AVq89Fyyk4I0BvbpUGAg&s=19
View: https://x.com/MwanzoTv/status/1489239495480426502?t=9EYDO4vtJCiUpI8me0sBFg&s=19
View: https://x.com/earadiofm/status/1601210047891226627?t=c4CIeMEbE3s5br7fKVgvKg&s=19
Hiv kwa nini wanaruhusu boda na bajaji kupakia abiria hapo?
Hiv zile meli za coco beach ni uzembe au bandari haitoshi?Ujio wa DP World na Adani katika uwekezaji kwenye Bandari zetu umeleta mapinduzi makubwa na matokeo chanya yame anza kuonekana mapema tu.
Hao Zambia tayari ni wateja watiifu kwa DP world na madini yao yote yanapita Tanzania Sasa. Kwa kuangalia tu jaribu kufatilia yard za Copper pale Shekilango utaelewa. DP wame lobby sehemu nyingi na Congo is next. Ndio maana Sasa hivi wanakazana kujenga Warehouses za kutosha.... Upande wa vifaa Bandarini vya kupakia na kushusha mizigo tayari kuna improvement kubwa sana.
Hata baadhi ya shipping lines zinataka kuhamishia HQ zao hapa Bongo na kukimbia kunyaland maana hapo Dar kwa Sasa ndio panaongoza kwa mapato..sio kama mwanzo maboss walikuwa wanasubiri report kwa email tu... Sasa hivi wanashinda kwenye office za Dar huko ku run operations.
Uwezo ndogo ni ya kujaribu to scam me. Uwezo ndogo WA kufikiria ni kutoenda shule.Ana uwezo mdogo wa kufikiri. 😂😂😂
Viwanja vya mpira ama viwanja vya kulisha ng'ombe?Brother unauhakika na hiki ulichokiandika? Kila mkoa Tanzania upo na Viwanja vya mpira.
Watakuambia hizo ni fake data😂😂Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
No wonder 2,300 wealthy Tanzanians come to seek treatment in Kenya.Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
At least three MRI machines (one at KNH and two at KUTRRH) are confirmed in public hospitals.Nchi ya $400 billion GDP ikona 13 MRI machines pekee kwa puclic hospitals. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/JongoJames/status/1945788277677511064
In 2013 the government supplied 20 MRI machines to public hospitals across the country, ebu jiulize 2025 zitakua ngapi?At least three MRI machines (one at KNH and two at KUTRRH) are confirmed in public hospitals.
Apart from thwse 3, how many MRIs machines ate there in public hospitals?