Ishu afrika kusini itakubali kupoteza soko lake , vipi kuhusu Zambia ? Kumbuka hiyo reli hiyo ikifufuliwa Inaweza ikafa kifo kwa Zambia kwa namna nyingine
Kwa hivo aliyesema haya ni Teargass sindio? 🤣 🤣Rudi isome tena ile post yangu uielewe, utaiona huyo $250.
Kama hujarukwa na akili then it's coming bro. Wacha nikuache.Mi naona hata ku quadruple inawezekana, haya mambo ya maendeleo huwa ni exponential, yakianza yanasambaa haraka.
Tukiwa na watu makini ndani ya miaka 10 watu wataishangaa Tz.
Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
Hata hiyo $250B yenye ameangukia bado ni wendazimu. Nchi gani yenye GDP ya $250B ina budget ya $21B?🤣Kwa hivo aliyesema haya ni Teargass sindio? 🤣 🤣
Kama hujarukwa na akili then it's coming bro. Wacha nikuache. H
Toa dhibitisho kwamba umepanda ndege.Kwako ndege ni kitu cha ajabu eeehh!!! Au sio Nduta.
Nachomekea tuu.Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.
Hata washirika ni tofauti, malengo ni tofauti.
Nyerere alikuwa Rais Tanzania kwa miaka 24.Kwa hiyo, ukipanda mbegu leo itaota siku hiyo hiyo?
Tatzio letu na Zanzibar ni dogo sana. Na kele mara nyingi ni wanasiasa wanaotafua ulaji tu.Kwani sisi hatutofautiani na wazanzibari?
👇Wewe umeuliza kuwa, kama CCM imewasaidia kunganisha vyama why Oromo wameuana? Nimekujibu, ilichofanya CCM ni first step ya national buildup project.
South Africa kumaliza matatizo ni almost imposible.South Africa wana Rainbow nation,
Rwanda haina future.Rwanda baada ya genocide wana yao pia. Ndivyo mchakato ulivyo, na ni project inayoweza chukua generations.
Unatatizo la uelewa.Kwa hivo aliyesema haya ni Teargass sindio? 🤣 🤣
Kama hujarukwa na akili then it's coming bro. Wacha nikuache.
Rostam hapo kakosea. Kupeleka ma genius wetu nje ya nchi ni suicidal kwa taifa, hawatarudi, hiyo ni brain drain kwenda mbele.Huyu Mnyamwezi ndio wakunya wanasema ni mwarabu!
View: https://youtu.be/QjnpPAMBK3Y?si=9p2LilaAOlKOEyxo
Woga wako tu kaka yangu. Brother unawakuza sana watusi brother hawana ubavu wowote. Hiyo mentality uliyolishwa kichwani mwako ni vigumu sana kuitoa. Hao akina Kagame na Museven mafunzo yao wanapata hapa Tanzania. Taasisi yao ya Usalama hapo Rwanda mafunzo yao wanapata hapa Tanzania. Sijaelewa kwanini unawapa hao watusi umuhimu ambao hawana.Unachanganya kitu aisee bro.
Raia wa Rwanda Wana ideology tofauti na raia wa Tanzania.
Kuwachanganya watu wenye ideology tofauti chini ya bendera Moja ni ngumu sana.
Ndio hapo utajiuliza kwanini Kurdish hawakai chini ya bendera yeyote eidha Turkiye,Iran ama Syria.
Sasa brother naona unaanza sasa kushuka kiwango cha kujadili. Sasa tuanze kujadili herufi kwenye neno? Brother usitafute mistakes reja reja kwenye point nzito ili uweze kukimbia hoja zangu.dynests ndio nn?
Wacha nikuquote vizuri niache ile sehemu ulisema. Unajua saa zingine wendazimu ukianza kuingia mtu anaweza hata mkana mamake mzazi. Wacha hata niweke kwa bright colour maanake ni kama una shida ya macho. 🤣 🤣 🤣 🤣Unatatizo la uelewa.
Nilikuwa naeleza kuwa miradi tunayofanya ni nchi zenye GDP zaidi ya $400B tuu ndo zinafanya.
Nikahoji tuonesheni nchi zenye GDP ya $250B zinazofanya hivyo lakini mpaka sasa mmeshindwa.
Ni simple logic tuu, kama hakuna nchi zenye GDP ya 250 zinazoweza kufanya miradi ya Tz isipokuwa zile za GDP zaidi ya $400B, basi Tanzania nayo ipo kwenye kundi hilo la $400B
Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B,
Brother unatukosea sana watanzania. Tanzania hatuamini katika ukomunisti. SInce the begining Tanzania ni socialist.Tanzania inaamini kwenye ukomunisti na Kenya kwenye ubepari.
Hata washirika ni tofauti, malengo ni tofauti.
Ndio ujue it is too late kuungana na tukafanya jambo.
Hilo lilitakiwa lifanyike kipindi nchi bado changa ziwekwe chini ya ideology moja na mtazamo mmoja.
Nchi zishakomaa na ideology zao binafsi uje uzibadili kwa kuziweka sehemu moja!?
Acheni utani,we huoni hata China anavyohangaika kwa Taiwan!?
Watu sijui hawalioni hili!
Wengine kama kina nani?Hayo mambo yana rekebishikaa sio msahafu alafu ukichunguza kwa makini hapa EA Kenya pekee ndio pro west wengine wote ni against
Wacha nikuquote vizuri niache ile sehemu ulisema. Unajua saa zingine wendazimu ukianza kuingia mtu anaweza hata mkana mamake mzazi. Wacha hata niweke kwa bright colour maanake ni kama una shida ya macho. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mbona humalizii nilichokiandika, unaogopa nini?Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B, japo kwenye makaratasi hauoneshi. Mambo tunayo yafanya hakuna nchi yenye GPD ya 250B iliyowahi kufanya.
"Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B...."Mbona humalizii nilichokiandika, unaogopa nini?
Si kweli kaka yangu. Tafuta taarifa sahihi. Ndio maana Wizara yetu ya mambo ya nje inaitwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Na siyo ushirikiano wa SADC. Tanzania imeipa umuhimu mkubwa EAC ni wewe tu usiyeelewa.Wengine kama.kina nani?
Rwanda ana beef na kila jirani, Uganda, Burundi, DRC,
Uganda haeleweki. Na hivi sasa Museven maji ya jioni huyo Muhoozi akili yake anawaza vita kuda wote.
DRC ni chaka la wahuni, hakuna serikali pale.
Ndio maana TZ iko busy na SADC tu.
You are done because you are running out of gas, you can't produce any evidence of $250B GDP country that do what we do in Tz."Kumbuka uhalisia wa uchumi wetu ni zaidi ya $400B...."
I'm done bro. I won't be responding to you on this topic anymore. You can't be denying the obvious and still dragging me along.
NairobiWalker Unaelewa maana ya logic hii hapa juu au hata "Githafu" za logic hujui?Ni simple logic tuu, kama hakuna nchi zenye GDP ya 250 zinazoweza kufanya miradi ya Tz isipokuwa zile za GDP zaidi ya $400B, basi Tanzania nayo ipo kwenye kundi hilo la $400B