President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,722
- 94,416
Kujenga Storage na Dry Ports Isaka, Mwanza, Uvinza/Kigoma, Tabora, Ihumwa Dodoma si chini ya Tsh 600b. Kaka hiyo pesa TRC kuipata kwa kudunduliza nauli za abiria itachukua zaidi ya miaka 15.
Naomba upige hesabu vizuri. Tangu SGR waanze kubeba abiria hawajafikia hata Tsh 35b. Labda serikali kuu iwakopeshe hizo pesa. Lakini kama wao pekee hawawezi. Shirika litakufa
Ukiambiwa hayuko Qatar Airways unaweza ukabisha 😁Tanzania bus hostess. Huko Kenya ni vicheko. Dunia yote inajua vitu vyote vizuri vinatoka Tanzania.
Kenya yanatoka magimbi ya wanawake.
Tilisho Safaris
View attachment 3403059
Bora iwe hivyo kuriko iwe kama mwendokasiMimi sina hela🤣🤣🤣🤣, halafu sidhani hiyo ya private sector kama ni njema kwetu ,uwekezaji mzuri ilikuwa trc wauze hisa ila watu waweke mitaji yao hapo . Tukiruhusu private ,mtu atatoka ulaya na pesa zake then faida baadae inaenda ulaya wakati ingekuwa ni hisa faida nyingi ingebaki hapa
And if you know Tanzania is located in Southern Africa and not East Africa geographically, how did you rate it as the poorest in East Africa??EAC is a political pact, ndio maana DRC wenyewe walijoin just the other day. The truth is, DRC is in central Africa geographically, not East Africa. Umesikia mnyamwezi?
Even Tanzania is a member of SADC while in real sense it's not located in southern Africa
Nimegundua kitu kwako.Bongolala, this is one of the sources I shared here. This is World Bank X account.
View: https://x.com/WorldBank/status/1317435268614492160?t=SXKmxHAjqFIfgFSDLvq6Rw&s=19
The other source I shared here is this one
African countries show mixed progress towards poverty reduction and half of them have an extreme poverty rate above 35%
Extreme poverty will become a predominantly Sub-Saharan African phenomenon in the coming decade and the continent will be home to the lion’s share of the global poor by 2030. The recently published Poverty and Shared Prosperity report 2020 shows...blogs.worldbank.org
Zote ni World Bank
Hiyo Global Finance umetoa wapi wewe? Mnapenda ubishi za kijinga sana mkishabanwa kwenye hoja
TPA ndio wamiliki wa bandari, siyo TRC.Kujenga Storage na Dry Ports Isaka, Mwanza, Uvinza/Kigoma, Tabora, Ihumwa Dodoma si chini ya Tsh 600b. Kaka hiyo pesa TRC kuipata kwa kudunduliza nauli za abiria itachukua zaidi ya miaka 15.
Naomba upige hesabu vizuri. Tangu SGR waanze kubeba abiria hawajafikia hata Tsh 35b. Labda serikali kuu iwakopeshe hizo pesa. Lakini kama wao pekee hawawezi. Shirika litakufa
Ndo maana kasema TRC SGR iwekwe stock exchange, watu wanunue hisa huko. Wenye shares waamue jinsi ya kumake profitsKaka Tatizo Capital. Pesa ni nyingi mno zinahitajika. Yaani ujenge, reli, ununue vichwa vya treni, babehewa, Ujenge storages, Ujenge bandari kavu. Kaka hii inahitaji billions of $.
Trc Toka ianze imekusanya zaid ya 66bil wastani wa 6.6 bil kwa mwezi , godown la tan 2000 lenye mnzani halifikii 3bil ambayo ni mauzo ya mwezi mmoja , kwa sasa mishahara ya watumishi wa trc bado inatoka serikali kuu ( haihusiani ) na opareshen cost za sasa.Operation cost za TRC zitatoka wapi? Huo utakuwa mwanzo wa kuiua TRC. TRC tangu ianze kubeba abiria imekusanya TSH not more than 40b. Sasa unataka utoe kiasi gani hapo ili ujenge hayo magodown?
Kaka hiyo storage ya bil 600 ni yako , kiukweli ujenzi wa godown la tan 2000 haiwezi zid bil 3 , fuatilia magodown yaliyojengwa na nfra chini ya usimamizi wa halmashauri. Wizara ya kilimo walitoa bil 3 kwa magodown ya tan 2000 na total bajet haikufika hata bili 100 kwa nchi nzima , sasa iweje tufike bil 600 kwa sehu tatu ( kumbuka haya magodown yalikuwa chini ya halmashauri) .Kujenga Storage na Dry Ports Isaka, Mwanza, Uvinza/Kigoma, Tabora, Ihumwa Dodoma si chini ya Tsh 600b. Kaka hiyo pesa TRC kuipata kwa kudunduliza nauli za abiria itachukua zaidi ya miaka 15.
Naomba upige hesabu vizuri. Tangu SGR waanze kubeba abiria hawajafikia hata Tsh 35b. Labda serikali kuu iwakopeshe hizo pesa. Lakini kama wao pekee hawawezi. Shirika litakufa
Wafunge CCTV reli nzima. Mtu akikamatwa afungiwe maisha na kuwa shamed in publicOperations na running cost ya SGR DSM to DOM ni kubwa sana. Na bado kuna some final touches zinaendelea kufanyika. Ndio maana kila siku ubora wa safari una ongezeka.
Na Sasa hivi wana mpango wa kwenda full auto electric. Loco zitakuwa controlled kutoka main stations... Mifumo ya signalling Sasa Iko vizuri.
Ila bado kuna wahuni wanaiba nyaya za copper Hadi sasa. Ni changamoto kwa kweli...
You hate Kenya but expect Kenyans to love you?They hate Tanzania with a passion.
Ndio nachomaanisha trc iuze hisa ili kupata mtaji na pia mtendaji mkuu awe anateuliwa na wanahisa tu na sio ategemee uteuzi kama crdb na nmbNdo maana kasema TRC SGR iwekwe stock exchange, watu wanunue hisa huko. Wenye shares waamue jinsi ya kumake profits
Serikali isimamie uwajibikaji na kuchukua Kodi zake.
Same with UDART, Air Tanzania, TTCL nk
Kuwa watchman kwa airport haimaanishi umepanda ndege.****** wako, hujui how airlines operate, ni kwasababu hujawahi kupanda ndege. Ndege yeyote ikitoka popote lazima itue nyumbani then inawa disperse abiria sehemu tofauti tofauti. Kwa mfano kama abiria atatumia air Tanzania (TC) from Mumbai to DRC, lazima aje Dar kwanza then ndiyo apelekwe Congo. Hujawahi kupanda ndege that's why uko layman.
Operation cost sio kubwa sana ila trc kwa sababu ya ufisadi wanazifanya ziwe kubwa. Mfano tu badala ya kuwa na wahudumu wa mapokezi na wakuelekeza upandaji , wenyewe wameweka wahudumu wa kuuza korosho za 2000 ambazo unakuta mhudumu akishauza korosho mbili za 4000 anatulia zake akisubiria mshahara, kumbuka hao wahudumu Wana posho ambayo hailingani na wamachozalisha. Ingependeza Kila mhudumu alipwe kwa anachoingiza na akabidhiwe behewa kama ilivyo kwa mabasi na nauli ipande kulingana na jinsi abiria wanavyopenda huduma za mhudumu wa behewa husika.Operations na running cost ya SGR DSM to DOM ni kubwa sana. Na bado kuna some final touches zinaendelea kufanyika. Ndio maana kila siku ubora wa safari una ongezeka.
Na Sasa hivi wana mpango wa kwenda full auto electric. Loco zitakuwa controlled kutoka main stations... Mifumo ya signalling Sasa Iko vizuri.
Ila bado kuna wahuni wanaiba nyaya za copper Hadi sasa. Ni changamoto kwa kweli...
Wakenya wameingia TZ wameshangaa cars zilizopo TZ. Wanasema Tanzania gari kubwa kubwa tu SUV. Wanaendesha mawaziri wa Kenya
View: https://vm.tiktok.com/ZMSpc5A2t/
Dangote akitumiwa vizuri anamzigo mkubwa sanaCement ya Dangote yatua Dodoma kupitia SGR ya umeme
View: https://youtu.be/iiaJ9U6pfxk?si=94FhCt00dmJIiN2f
Bongolala, I don't work at World Bank neither do I know anyone who works there. World Bank produced this data for public consumption. If it pains you so much, waandikie barua uwaambie kwamba taarifa yao siyo sahihi. Hii kelele unapiga hapa will not change anything about WB mentioning Tanzania in that report of shame!