Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We fala Tanzania pale DIT inaunda bajaji za umeme sembuse hiko kitu hapo!?
Tanzania DIT inabadili magari kutoka mfumo wa mafuta kuja wa gesi na inabadili bajaji na pikipiki mfumo wa mafuta kuja wa gesi na umeme.
Tanzania sio level yenu kijana.
Kuna daladala za bajaji Kigamboni zinaundwa zinaitwa twiga.
Pikipiki hata Burundi inaunda, so there is nothing special there.
 
Naona Home Market kashaweka Bango lake hapo Quality Center 😎. Huyu strategy yake ni kuwanyongea mbali Akina Home City na Happy Go shopping 😂Yeye anawazuia huko huko mbali kama alivyowazuia wanaotokea Mbezi, Tegeta, Mbweni , Salasala etc kwa kuweka hii kitu pale Africana.

View attachment 3397646

Hapo Quality Center atakula vichwa vyote vya Ilala, Vingunguti, Chang’ombe , Gongolamboto , Mbagala etc. Mwendo wa kubanana kariakoo unapungua kwa baadhi ya Bidhaa.
🔥🔥🔥 kuna majengo kadhaa yanainuka pia wakimaliza hii barabara itazidi kuvutia zaidi
 
Back
Top Bottom