President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,377
Mambo ya wakenya hayo. Naona hapa mwanaume mkenya ameolewaVenus at last tumekuona … I agree with you 💯 😁
View attachment 3397486
Mambo ya wakenya hayo. Naona hapa mwanaume mkenya ameolewaVenus at last tumekuona … I agree with you 💯 😁
View attachment 3397486
Tanzania haikuwa na uhitaji wa wanajeshi na kipindi cha vita ile 1979 wanajeshi na military advisors wetu walikuwa huko Mozambique wakilinda serikali ya Mozambique dhidi ya mashambulizi ya Makaburu na Renamo.Wacha uongo Mozambique ya Machel walitoa wanajeshi 800 hata Rais Samia kawashukuru juzi alipoenda Maputo! Na vita ilikikuwa 1978-1979!
Lijanamke jeusi tii kama mkaa😎🤣
Wewe pumbavu unashindwa ku comprehend simple English unaweka guesses zako za kijinga report imeandikwa 2020 mpaka 2024Government full year is always two half years of two years. Akili yako ni ndogo sana.
Wako wapi kina Mwai waje wajionee Bongo BRT PHASE 3MUJIENJOY WAKENYA 😀
BRT PHASE 3 NYERERE ROAD SECTION
View attachment 3397525
View attachment 3397535
View attachment 3397537
View attachment 3397538
View attachment 3397543
View attachment 3397554
View attachment 3397555
View attachment 3397556
BATAOKOTA KUNYAVU 🔥🔥🔥 😂😂😂
Swadaktah waarabu wanasema.Tanzania haikuwa na uhitaji wa wanajeshi na kipindi cha vita ile 1979 wanajeshi na military advisors wetu walikuwa huko Mozambique wakilinda serikali ya Mozambique dhidi ya mashambulizi ya Makaburu na Renamo.
Tanzania haikuwa na uhitaji wa wanajeshi na kipindi cha vita ile, unachosema wewe ilikuwa ni gesture of solidarity toka kwa Mozambique na sio msaada. Ni Kama Tanzania walivyochangia Japan some few thousand dollars kipindi cha tetemeko la ardhi.
"The Embassy of Tanzania in Japan, along with the Tanzania Community in Japan, provided 600 cans of Tanzanian instant coffee and 405 cans of other food items, with a total value of 355,000 yen, to Natori City in Miyagi Prefecture. The donation was delivered on April 9, 2011"
Unaita huu ni msaada, Japan walikuwa wanaitaji huu msaada wa vikopo vya kahawa 405?
Tumia akili na jua kutofautisha kati ya "msaada" na "solidarity".
Halafu acha kuwaita wenzio waongo simply due to your poor poor translation of events.
Are you jealous of him?… 🤣🤣🤣🤣
This Hoima Stadium is going to put Arusha mini Stadium into shame.
View: https://youtu.be/rCOp243mxvA?si=DNaOL9dLMX136kAS
peopledaily.digital
😂😂😂😂😂😂 akili imejaa funzaHuo mtaa is 100% better than your sprawling uswazi hovels
Hebu piga picha zako za Hawaii ya Kajiando tucheke.Are you jealous of him?… 🤣🤣🤣🤣
Naona Home Market kashaweka Bango lake hapo Quality Center 😎. Huyu strategy yake ni kuwanyongea mbali Akina Home City na Happy Go shopping 😂Yeye anawazuia huko huko mbali kama alivyowazuia wanaotokea Mbezi, Tegeta, Mbweni , Salasala etc kwa kuweka hii kitu pale Africana.MUJIENJOY WAKENYA 😀
BRT PHASE 3 NYERERE ROAD SECTION
View attachment 3397525
View attachment 3397535
View attachment 3397537
View attachment 3397538
View attachment 3397543
View attachment 3397554
View attachment 3397555
View attachment 3397556
BATAOKOTA KUNYAVU 🔥🔥🔥 😂😂😂
Watoto wametulia aisee
Sisi wa mbezi angetuwekea yetu pale mbezi luisNaona Home Market kashaweka Bango lake hapo Quality Center 😎. Huyu strategy yake ni kuwanyongea mbali Akina Home City na Happy Go shopping 😂Yeye anawazuia huko huko mbali kama alivyowazuia wanaotokea Mbezi, Tegeta, Mbweni , Salasala etc kwa kuweka hii kitu pale Africana.
View attachment 3397646
Hapo Quality Center atakula vichwa vyote vya Ilala, Vingunguti, Chang’ombe , Gongolamboto , Mbagala etc. Mwendo wa kubanana kariakoo unapungua kwa baadhi ya Bidhaa.