NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,004
- 19,173
Sawa.Wasouth Africa ni swalalauongozi wao umewafelina watu waohawana uelewa. Tanzania selldrugsin China and there are many in their prisons kama tulivyo nao Wachina kwenye jela zetu kwa kesi za pembe za Ndovu. Lakini huwezxi sikia Mchina or Mtanzania akimbagaza mwingine kwa sababu hizo.