Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We fala Tanzania pale DIT inaunda bajaji za umeme sembuse hiko kitu hapo!?
Tanzania DIT inabadili magari kutoka mfumo wa mafuta kuja wa gesi na inabadili bajaji na pikipiki mfumo wa mafuta kuja wa gesi na umeme.
Tanzania sio level yenu kijana.
Kuna daladala za bajaji Kigamboni zinaundwa zinaitwa twiga.
Pikipiki hata Burundi inaunda, so there is nothing special there.
 
Naona Home Market kashaweka Bango lake hapo Quality Center 😎. Huyu strategy yake ni kuwanyongea mbali Akina Home City na Happy Go shopping 😂Yeye anawazuia huko huko mbali kama alivyowazuia wanaotokea Mbezi, Tegeta, Mbweni , Salasala etc kwa kuweka hii kitu pale Africana.

View attachment 3397646

Hapo Quality Center atakula vichwa vyote vya Ilala, Vingunguti, Chang’ombe , Gongolamboto , Mbagala etc. Mwendo wa kubanana kariakoo unapungua kwa baadhi ya Bidhaa.
🔥🔥🔥 kuna majengo kadhaa yanainuka pia wakimaliza hii barabara itazidi kuvutia zaidi
 
Hii ni Dar es salaam. Jiji linalowafanya wakenya wandamane kila mwezi.

1751960845966.png


1751960907556.png
 
Leo nataka wakenya niwaoneshe namna Tanzania inavyojiendesha. Nataka kuwaonesha leo State Owned Enterprises (SOEs). Zipo zaidi ya 270 officially registered SOEs.

Naanza kama ifuatavyo:-
Electrical Transmission & Distribution Construction Maintenance Co.LTD (ETDCO) hii ni Kampuni tanzu ya Tanzania Electric Supply Company (TANESCO).
1751966084877.png


 
Tunaendelea na SOEs za Tanzania. Wakenya mnatakiwa muelewe nchi zinazojielewa zinaendeshwaje.

Tanzania Geothermal Development Company Limited (TGDC) is a subsidiary company of Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO)
1751966878114.png


 
A country where men brag about beauty pageants laughing at a country where men are giving their lives for revolution democracy and upholding human rights lol
Sura nzuri za wanawake ni kutokana na chakula bora. Kwenu kenya hakuna chakula bora ndio maana wanawake wenu sura ni mbovu.

Hebu angalia sura yako hapa. Kwikwikwikwikwikwi 👇 👇 👇 👇 lack of food
1751967406616.png
 
Back
Top Bottom