babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Ni mtoto ila mbona kakuzidi uwezo wa kufikiri mbali sana! Huoni kuna tatizo mahali! 😂😂😂Yet the same Palestine supported Uganda in your war with Amin. Na tukiwaambia historia yenu ni ya kupigiwa hekaya na Nyerere mnatuona wajinga. Hadi wa leo you guys still play Nyerere's stories in your radio stations na huo upuzi unafanya vitoto vidogo kama Sama boy 255 vijione magwiji wa historia.