Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa huyo ndio mkuu wa hiko kikosi na aliwachakaza mbaya wanajeshi wa Amini. Na hata sasa Tunaweza kuwafira mbaya hao wanamgambo wa kunyarenda ambao mnawaita ati ni Jeshi. 🤣🤣🤣
Muanze na wahuni kutoka msumbuji wa kubeba panga na bakora
 
HODI HODI NAINGIA KUWALETEA SIFA ZA TANZANIA NAMNA ILIVYOFANYA KATIKA UKOMBOZI WA AFRIKA.

Mwaka 1962 Chama cha Ukombozi wa Comoro (MOLINACO) kilianzishwa jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua za awali za kupigania uhuru wa nchi hiyo. Leo nimepata heshima ya kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Comoro. Hakika, ni jambo la kujivunia kuona mchango tulioutoa wakati huo uliiwezesha nchi hii kupata uhuru, na imeendelea kupiga hatua za kimaendeleo katika kila sekta.

Mababu na mabibi zetu walileta uhuru wa kisiasa, na sasa ni wakati wetu kuleta uhuru wa kiuchumi, kwa nchi za Afrika kujengwa na watu wake kwa kutumia rasilimali za ndani. Ili kufikia lengo hilo, tutaendelea kudumisha na kukuza ushirikiano wa kibiashara na kudumisha udugu wetu na Comoro ambao umekuwa na manufaa kwa wote.

Nimetumia nafasi hii pia kueleza utayari wa Tanzania kupeleka walimu na vifaa vya kufundishia lugha ya Kiswahili nchini Comoro, hatua itakayoimarisha zaidi umoja na kurahisisha biashara. Kiswahili ni urithi wetu na ni daraja la maendeleo.

View: https://www.instagram.com/p/DLxG-pitE2r/?utm_source=ig_web_copy_link
 
Wako bize wanaiga kila kitu.
Hawajui kuwa saba saba ni siku Tanu ilipozaliwa 1954. Hiyo siku imekuwa ikisherehekewa tangu uhuru na iligeuzwa kuwa siku ya maazimisho ya biashara. Wao wameanza 1990. Vile vile ni siku ya Kiswahili duniani. Hata nane nane ni siku tumeisherehekea miaka nenda rudi kama siku ya wakulima. Nyang'au ni watu wa kuiga iga mpaka lugha ya wazungu. Upuuzi mtupu😁😁
 
Tanzania katika ukombozi wa Comoros dhidi ya France Wazungu wanaijua Tanzania. Wakenya wanatamani sana wao wawe sisi. Lakini Mungu amewakataa.

1751826244114.png

1751826276452.png

1751826378078.png
 
Tatizo humu tunabishana na mapimbi na mandezi wasiyo jua kitu wanatuchukia tu kwa sababu tuna title nzuri Africa wao hawana pa kushika
Palestine and Libya suppported Iddi Amin.

We caught their soldiers and sent them back.

Hawajui kuwa saba saba ni siku Tanu ilipozaliwa 1954. Hiyo siku imekuwa ikisherehekewa tangu uhuru na iligeuzwa kuwa siku ya maazimisho ya biashara. Wao wameanza 1990. Vile vile ni siku ya Kiswahili duniani. Hata nane nane ni siku tumeisherehekea miaka nenda rudi kama siku ya wakulima. Nyang'au ni watu wa kuiga iga mpaka lugha ya wazungu. Upuuzi mtupu😁😁

Tanzania katika ukombozi wa Comoros dhidi ya France Wazungu wanaijua Tanzania. Wakenya wanatamani sana wao wawe sisi. Lakini Mungu amewakataa.

View attachment 3396633

View attachment 3396634

View attachment 3396636

Wameiga saba saba hao nyau,soon utawasikia wao ndio walioanzisha sikukuu ya 7/7
 
Back
Top Bottom