Kunyans bana huwa wanajifurahisha sana toka lini Tukashabihiana na UK, USA.
Let we help you history ya Miaka ya 1970s, Tanzania ilisapoti waziwazi Palestine liberation organisation na ni nchi ya Kwanza Afrika to formal cut ties with Israel kuisuport Palestine na ya kwanza kuipa ubalozi sub saharan Africa 1973
View attachment 3396150
So UK, na USA kama kawaida ndio walikua supporter wakuu wa Israel unadhani wataenda kuisuport nchi ambayo ipo against na agenda zao.
Kuanzia capitalism, imperialism na their influence to global south.
Kumbuka miaka hiyo ya 1970s ndio Tanzania kupitia UN ambassador Dr Ahmed A. Salim ilipambania China kua na seat moja UN badala ya Taiwan kupelekea Taiwan isitambulike UN itambulike kama PRC, and kupitia hiyo china iliizawadia Tanzania highest national honor kupitia Mchango wa DR. AHMED A. SALIM
View attachment 3396159
Beijing. China yesterday conferred on former Prime Minister Salim Ahmed Salim one of the country’s highest state honours. Dr Salim’s daughter, Ms Maryam Salim, received the Friendship Medal on...
www.thecitizen.co.tz
I think mnaona sasa Taiwan ilivyo na USA.
Bila kusahau miaka hiyo ilikua imehodhi vikundi vya ANC (South Africa) ZANU-PF (Zimbwabwe), MPLA (Angola), FRELIMO (Msumbiji), katika kupigania uhuru ulio kua against na Interest za British.
Chukueni elimu acheni udwanzi