Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Reli ya bandarini ujenzi wake unaenda polepole sana!Kwanza reli iingize bandarini tuanze kushushia copper Dodoma badala ya kuja kujaza foleni dar tuone
Au kwa sababu zinajengwa njia tatu mgr, tazara na sgr ?Reli ya bandarini ujenzi wake unaenda polepole sana!
Hapana TAZARA haipitii upande ule! TAZARA inaingila Bandarini kutokea upande wa Kurasini interchange na haijsimama kwa ajili ya ujenzi ule! Pale ni uzembe tu unachelewesha kile kipande na hata sidhani kama upana wa tunnel ile iliyojengwa unaweza kumudu MGR na SGR PAMOJA! Nadhani MGR itanrelea kuingia bandarini kupitia upande wa NSSF Waterfront!Au kwa sababu zinajengwa njia tatu mgr, tazara na sgr ?
Itakapoanza za Mwanza, kigoma jirani si atajiny..a😁😁Hiyo ni kwenda Moro ila kwenda Dodoma ilikuwa 25/7/2024 tuseme mpaka sasa sgr imefanya kazi kwa miezi 11 tu
Ndo watajua kwamba kigoma Ina abiria kuliko Mombasa - Nairobi🤣🤣🤣🤣.Itakapoanza za Mwanza, kigoma jirani si atajiny..a😁😁
Ila wakienda Uganda huwenda kazi ikakamilika.
Qatar Doha sio? kuna mmoja niliweka wallet yangu kwenye scanner ilikuwa na kama 2000€ akaanza kuniuliza nikamwambia afanye kazi yake fedha yangu haimuhusu akanywea! Mpumbavu sana!Duh, Kuna Uwanja wa ndege nimepita manamba ni wakundustan watupu😂. Nikakumbuka Remittance😎😂
View attachment 3395128
Waswahili husema funika kombe mwana haramu apite 🤣Mbona mmefunika running tracks na carpet?
😂😂😂 Em nioneshe ilipouziwa?Hata unaelewa hii article kweli? This bond was purely subscribed by Kenyans. No foreigners is involved with the Talanta Stadium bond.
By the way, hule Wimbi wenu wa Talanta kuwa Stadium wa Mchina uliishia wapi?😂😂😂
Hilo litreni ndio analojisifia nalo kila siku Lewis254😎View attachment 3395206View attachment 3395207
Hata nusu ya treni bado kujaza eti mapato yazid Ile treni inayokuwa full Kila siku