concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,468
Oooh, structures za warabu?Umesoma hadi mwisho panaposema Swahili traditional structure?
Au una ufinyu wa kuelewa?
Structure za waarabu ndio Swahili traditional structure!?Oooh, structures za warabu?
Kweli aisee, majuzi ndugu yangu mmoja walimshikia bunduki huko Congo.TZ tunalea sana watu, hata Wacongo.
Ingawa ukienda Congo wanaweza hata kukula nyama kabisa.
Kwani hujui Swahili is an Arabic culture?Structure za waarabu ndio Swahili traditional structure!?
😂😂😂😂 Doh!
Structure za waarabu ni kama za Morocco na zinginezo.
Nani kakudanganya kuwa Swahili is na Arabic culture!?Kwani hujui Swahili is an Arabic culture?
You very dumb and stupid.Kwani hujui Swahili is an Arabic culture?
Nyang'au wengi wanaamini Kiswahili kilianza kwao na hapo hapo wanasema Kiswahili ni kiarabu. Hawa jamaa wamechanganyikiwa😂Nani kakudanganya kuwa Swahili is na Arabic culture!?
Mathalan tukija katika moja wapo ya Swahili culture ni kuwekana mwali,je mwaarabu anayo hiyo tamaduni!?
Not language kaka we are talking about traditions.You very dumb and stupid.
Swahili is 60% Bantu
Mafala wa kutupwa hawa.Nyang'au wengi wanaamini Kiswahili kilianza kwao na hapo hapo wanasema Kiswahili ni kiarabu. Hawa jamaa wamechanganyikiwa😂
Swahili itself is an Arabic word kwani hao watu WA Bantu hawakupata jina la kupeana hilo culture na language?You very dumb and stupid.
Swahili is 60% Bantu
We don't have a bus culture in Kenya. Route ya Mombasa tu ndio kuna mabasi kubwa.Show me a modern bus shade in Kenya before tukubali kuwa hii ni design ya 80s
it all goes back to currency purchasing power. Huko kwenu purchasing power ya dollar ni ndogo kuliko Tanzania so usitake tufanane.