concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kwikwo leta zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ushaambiwa tota revenue inayotokana na utaliii sasa leta yako ambayo haijainclude domestic na report yenu hiyo hapoWapikaji data, nowonder munahesabu pesa hadi za domestic tourists kwa exports.
Utapasuka nyangau ebu angalia entrance fee ya Serengeti tuMajority of your tourists are domestic yet they only contributed 80 million USD. 🤣 🤣 🤣 Alafu hao international tourists who contributed 3.9billion hakuna hata country mlifikisha 150k tourists. Wapikaji data.
Badala ya kuweka maelezo. Weka videos.Agriculture
Kenya Livestock Commercialization Project (KeLCoP)
Kenya Agri-Business Development Project (KABDP)
Sustainable agricultural value chain enterprises in central Kenya (SAVES)
Kenya Climate Smart Agriculture Project (KCSAP)
Seed and breed quality improvement
250,000-acre Galana Kulalu irrigation scheme
Infrastructure
Konza Technopolis
Tatu City
Lamu port berths
Dam projects like Thwake dam, Itate dam and Siyoi Muruny among others
Dual roads eg Kenol-Marua road (84km) and Isiolo-Marua (135km).
540km Mau Mau road
Maasai Mara fees is triple the figure you have quoted. Ama unadhani watu wanaingia bure.Utapasuka nyangau ebu angalia entrance fee ya Serengeti tu
Mind you 70usd = 184,000
Kwa hiyo akija waitaliano 50,000 ni sawa na kuingiza 3,500,000 ambayo inatosha kwa domestic tourists 927,000 .
Sasa kama revenue ya domestic Iko 80mil inaamanisha ilikuwa ni kiingilio Cha watu 21,000,000 ila sisi tuna 3mil .
View attachment 3381629
Usipaniki huu mchezo hauhitaji hasira
Unaona foleni ya magari huko mbugami unaweza let's kama hii kwa Leo sehemu yoyote Kenya. Wenzako wanalia
View: https://x.com/MwendaKev/status/1937437966357381378?t=2f1GW7czZp72Q2hABAZ-WA&s=19
Kumbe umeelewa kwanini earning from domestic revenue ni kidogo ,🤣🤣🤣🤣.Maasai Mara fees is triple the figure you have quoted. Ama unadhani watu wanaingia bure.
Locomotive hawez elewaHaya wakawacheke na mabwana zao sasa!! Mtu wa third world country hawezi elewa matatizo ya first worlds life!!🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/DLKahzjoYi-/?igsh=MW9nOWNncnJqbnN6Zg==
Sasa umeona nani anafake tulitegemea kwa hizo entrance fee tu mtripple kimapato kama maeneo Iko hivyo lakini bado mko chin ya viwango.Maasai Mara fees is triple the figure you have quoted. Ama unadhani watu wanaingia bure.
Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.Kumbe umeelewa kwanini earning from domestic revenue ni kidogo ,🤣🤣🤣🤣.
Haya tuwekee watalii wangapi wamevisit Masai Mara kuanzia December 2024. 🤣🤣🤣🤣
Eti ndege ina mkuki. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ndege Ina mkuki hapo mbele 😂View attachment 3381662
Aliyeileta Masai mara sio wewe , wewe umesema domestic revenue sio halisia nimekuonesha kwa kuambia all fees kama entrance mpaka hotels zinabei ya domestic na foreigners . Foreigner huwa mpaka thrice ya mzawa.Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.
Whatever unatuambia is not new information, unasahau Kenya is your top source for tourists ama unadhani hatujui.Aliyeileta Masai mara sio wewe , wewe umesema domestic revenue sio halisia nimekuonesha kwa kuambia all fees kama entrance mpaka hotels zinabei ya domestic na foreigners . Foreigner huwa mpaka thrice ya mzawa.
Haya domestic earning ya wazawa Kenya ni kiasi gani . Mburula🤣🤣🤣🤣
Domestic tourists ambao hata viingilio vyao havina tofauti na WA Tanzania. 🤣🤣🤣🤣🤣Whatever unatuambia is not new information, unasahau Kenya is your top source for tourists ama unadhani hatujui.
Ju hio ndio the only park in Kenya ama? Unareason kama fala ju maasai mara hata sio the most visited park in Kenya.
Mbona unajifanya hujaona Nairobi city hall revenue karibu mara 3 ya Dar.We kima elewa Dar city ni Ilala Municipality tuu bado kinondoni, Temeke Ubungo na Kigamboni