Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Kichaka gani, GDP ambayo haionekani kiuhalisia? Huo si ni uchawi sasa? Tulishawapita Kila kitu, wamebaki kujiwekea minamba tuu.Huko tayari kaka. Kichaka kilichobaki ni GDP tu. Kufika 2030 tunakifyeka milele.