Iran has no tactical knowledge on wars. Israel is hitting on the head by eliminating key military assets.
View: https://x.com/IDF/status/1936376645155524644
Hizo ni decoy nenda kafuatilie vizuri.
Iran millitary components ziko underground situated.
Na hiyo mbinu ndiyo waliitumia kumshinda Israel 2006 walipokua wanamsaidia Hizbollah Lebanon.
Pia mbinu hii hii Iran waliitumia kumshinda Iraq ya Saddam Hussein na washirika wake USA,France and UK kwenye Iran-Iraq war 1980-1988.