Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha ni nzuri sana manzee. 👇🏾
IMG_9011.jpeg
IMG_9012.jpeg
IMG_9013.jpeg
 
Facilities of these caliber huwezi patana nazo kwenye zile vijiji za kunyan wanazoita cities. Arusha. View attachment 3372253View attachment 3372250View attachment 3372251View attachment 3372252View attachment 3372254
Tuongeze hoteli Arusha jiji limefunguka ukiacha mradi wa MKICC tunahitaji hoteli kama tano za 4 n 5 star za vyumba 150-300 soon! Sasa hivi Arusha-Nairobi flghts za kumwaga na flightlink inaanzisha more routes za kwenda nje ya nchi kutoka Arusha airport! Nina uhakika wakina Precision, Auric na Air Tanzania wata-follow the lead!
 
Ila Kenya na probox za miaka 1990s! Check zilivyojaa Barabarani. Hadi police car ni probox
Wacha kujiaibisha, probox was not produced in the 1990's. Infact it's still being produced in 2025 in that same shape. Alafu hizo sio police cars wewe primary school dropout mshamba.
 
Then how comes Kenyan education is more recognized and valued in the world over yours … Why do world top tech companies come to set up or recruit in Kenya and not Tanzania … Why do developed nations college students recruit Kenyan tutors online and not Tanzanians…. You can believe about your education system all you want but facts show otherwise.

Still ur former chief of justice ana hold degree ya UDSM,babu jinga kweli we kilaza
Screenshot_20250617-080647.jpg
 
View attachment 3372500

Nakuru ni Jiji la 3, kwa ukubwa Kenya.

Ila huyu Mkenya ambaye anakuja sana Arusha, anaona ili Nakuru ifanane kidogo na Arusha, inatakiwa waunganishe kwa pamoja Nakuru city na Nanyuki town.
Anaunganisha just for vibes comparison ju both towns are popular with tourists and Nakuru does not have mountain but both Arusha and Nanyuki have. Usiwe fala manze.
 
Back
Top Bottom