Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,705
- 34,356
Tena leo Eldoret sio jiji la tatu kwa Ukubwa vile Ulisema some time back? Ama wewe bora umefanya guess work.View attachment 3372500
Nakuru ni Jiji la 3, kwa ukubwa Kenya.
Ila huyu Mkenya ambaye anakuja sana Arusha, anaona ili Nakuru ifanane kidogo na Arusha, inatakiwa waunganishe kwa pamoja Nakuru city na Nanyuki town.