Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni watchman amefurahi juu alidhani temporary roadway ni running track. 😂😂 The same watchman alipuzilia mbali vile tukisema our stadium was unique in not he having a running track. Ukweli wanaujua lakini wanabisha tu.😂😂😂
Kwanza alishasema Talanta Stadium will never be built, sasa sijui mbona unasumbuliwa na uwepo WA running track ya kitu haitajengwa😂
 
Wabakaji wamefikiwa.

1000006507.jpg
 
Kwanza alishasema Talanta Stadium will never be built, sasa sijui mbona unasumbuliwa na uwepo WA running track ya kitu haitajengwa😂
Ashaafika Ile stage ya bargaining. Alishaamaliza denial na anger. 😂😂 Tungojee depression then atamaliza na acceptance. Miongoni mwa wenzake walishaaccept Ile yeye huwa na roho ngumu sana.😂😂
 
Back
Top Bottom