Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja nikupatie orodha fupi ili uondoe ushamba wako.

1. Prof. Filipo Gao Lubua University of Pittsburgh, USA
2. Prof. Gabriel Ruhumbika University of Georgia, USA
3. Dr. Rosemary Eustace Wright State University, USA
4. Prof. Hulda Shaidi Swai University of Pretoria South Africa
5. Prof. Irene Aurelia Tarimo University of Montana, USA

NB: Mkiona watu wamekaa kimya na nyie mnapiga kelele mnajiona mmesoma sana. Kwikwikwikwikwi
 
Nataka nikupige na nyundo nzito ili ukome


 
🤣🤣🤣 mitihani za Kenya nilishawahi post humu na watu wengi pia walishawahi zipost humu. Mtoto bright wa form4 Tz anaweza kuwa lecture hapo kenya bila matatizo yoyote.
 
Instanbul, kwa hivo Kisutu sio CBD ama unajaribu kusemaje?
 
From now henceforth I will only allow people who scored A like me to engage me in matters education. Wengine Kama baboon aka Sama boy 255 watafute the likes of watchman aka The best 007 wajadiliane nao. Hao ndio foolish idiots like you.
Do they know Luos are the smartest people academically in East Africa omera? 🤣 🤣
 
Wakenya wengi wanadhani miji yote inatakiwa kuwa kama Nairobi.

Wakija Dar, hawatafuti mwenyeji. Wanauliza mjini wapi, wanapelekwa Posta then wanatembea kuelekea Kisutu, Kariakoo wamemaliza.

Wanaita CBD.
 
Wewe hukukanyaga shule nyamaza. Mark you The University of Nairobi is the best University in East and Central Africa, the 9th best University in Africa and 280th in the World. Tell us about your school.

Nikanyage shule kufanya nini wakati River road university ni bei yako tu wanakujazia vyeti tu vile unataka?
 

Naelewa kunyaland ukiwa na Hela unapata cheti chenye A's za kutoshaa.

Na ndio hao wanawadanganya kwa kupika data na kuongea ujinga ujinga tu kisa wanaweza kuunda sentence kwa kingereza....the likes of wanjigi jimmy
 
Naelewa kunyaland ukiwa na Hela unapata cheti chenye A's za kutoshaa.

Na ndio hao wanawadanganya kwa kupika data na kuongea ujinga ujinga tu kisa wanaweza kuunda sentence kwa kingereza....the likes of wanjigi jimmy
Juzi hapa walitaka kufanya Maths kama somo la ziada (optional).

Yaani Kenya ukishajua Kiingereza, umemaliza. Too fake.

Kuna waandishi wao wa habari kama Larry Madowo na Jeff Koinange, yaani wana mpaka lafudhi fake.

Tena huyo Koinange amechoma mpaka nywele.

Mzungu wannabe
 

Huyo koinange ndio yule ana manyonyo na amejichubua ngozi!?

Hahaha 🤣
 
Yet mkitaka kujenga majengo mnatafuta Wasanifu kutoka Kenya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…