President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,074
- 93,481
Tanzania National Service vs Kenya National Service.
1. Nationa Service ya Tanzania ni JKT ipo na Makampuni, ipo Chini ya Jeshi
www.jkt.go.tz
2. Kenya National Service ipo chini ya TVETA haina Kampuni.
Kenya National Service inafanya kazi kama VETA Tanzania.
1. Nationa Service ya Tanzania ni JKT ipo na Makampuni, ipo Chini ya Jeshi
NS | Mwanzo
Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa kwa sheria ya Jeshi la Kujenga Taifa (Nationa Service Act) ambayo ni sheria No 16 ya mwaka 1964. Sheria hii inatoa uwezo wa Jeshi la Kujenga Taifa kuandiki | Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa kwa sheria ya Jeshi la Kujenga Taifa (Nationa Service Act) ambayo...
2. Kenya National Service ipo chini ya TVETA haina Kampuni.
Kenya National Service inafanya kazi kama VETA Tanzania.