Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,745
Heshimu miaka yako we mzee.Kwahiyo watu wenu wamekuwa commodities?
Haya hebu jifunze basi exports ni zipi hapa down. 🤣🤣🤣🤣🤣👇🏾It's not export of labour right?
Remittances ni fund transfer kutokea kwa watu wafanyakazi walioko nje kuja kwenye familia zao .It's not export of labor right?
🤣🤣🤣 hakubali kushindwa huyo. Ila hii yake imekua too much.Kwahiyo watu wenu wamekuwa commodities?
Unaweza kutuwekea corporate tax au income tax inayotokana na remittancesIt's not export of labour right?
Kwa hivyo hio 4.8billion earned from remittances ni guess work ya serikali? Do you know Phillipines is the biggest labour exporter in world pumping more than 12 billion dollars kwa economy. Kwa hivyo serikali yao hawajui hizo figures walitoa wapi?Remittances ni fund transfer kutokea kwa watu wafanyakazi walioko nje kuja kwenye familia zao .
Hakuna sehemu utakuta record yoyote ya mapato na matumizi.
Tunaposema kuuza huduma ni pale ambapo hiyo huduma unaweza hata kuirecord kwenye books of accounts kama earning.
Mfano mtu ambaye anatoa huduma ya hotel kwa watalii lazima, mwisho wa mwaka ataanda taarifa ya mapato yake ambayo yataonesha earning zinazotokana na kuuza vyumba.
Remittances haikidhi kwenye mauzo sababu ni utumaji wa pesa kwenda kwa familia , remittances hailipiwa corporate tax au vat kama vile ntalavyotoa huduma ya chakula kwa hotel.
Hold hapo kwanza, ebu tuambie kwanza why tourism or any other service is not on this list before tuendelee na remittance.Unaweza kutuwekea corporate tax au income tax inayotokana na remittances
Kwa hivyo hio 4.8billion earned from remittances ni guess work ya serikali? Do you know Phillipines is the biggest labour exporter in world pumping more than 12 billion dollars kwa economy. Kwa hivyo serikali yao hawajui hizo figures walitoa wapi?
![]()
NTV Kenya: Kenya, Qatar sign deal to streamline labour export to the Gulf
Kenya and Qatar have agreed to set up a Qatar Visa Centre in Nairobi to streamline the export ofntvkenya.co.ke
Hakuna shule hapo kama anashindwa kuelewa utofauti wa kuuza na kutuma pesa, atajua nini hapo. Sifa za kuuzaHaya hebu jifunze basi exports ni zipi hapa down. 🤣🤣🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3368741
Remittances are taxed ama unadhani kupokea pesa ni bure? Do tourists pay corporate tax when they visit your country? Usiwe mjinga bana.Unaweza kutuwekea corporate tax au income tax inayotokana na remittances
Sababu earning ya tourism kwa Kenya ya 3usd bil Ina include pia domestic tourism ukiweza kuleta figure ya domestic na foreign tourism earning ntakupa sababu why is it not includedHold hapo kwanza, ebu tuambie kwanza why tourism or any other service is not on this list before tuendelee na remittance.
View attachment 3368754
Kwanza 12 billion USD sio sawa na 240 ksh billion, anyway focus hio 12 billion ni remittance ya Philippines, ya Kenya ni 4.8 billion USD equivalent to 619 billion. Na haiko hapo kwasababu hio ni top 5 exports for goods only. Huitaji akili ya shule kujua hivyo.Ingekuwa ni exports kwa 12 bil usd ni sawa na 240bil , lazima ingekuwa kwenye top 5 exports bhata zaidi hata ya tourism ambayo Iko kwenye 3usd bil, basi total exports zenu zingekuwa kwenye 30usd bil 🤣🤣🤣🤣
Earning za tourist activities ambazo mahotel, tourist companies zinapokea ndo zinazopelekea kupatikana kwa taxes ambazo hulipwa kwa serikali .mfano all hotels in Kenya usually file corporate taxes, pia kuna hotel levy , mtalii hawez Kodi ila aliyempa huduma ndo atalipa Kodi baada ya kumhudumia. Sasa Leo wafanyakazi wenu walioko nje hizo huduma wanazotoa ,labda letsay kuosha vyombo ni wapi tunaweza track vyombo walivyooosha ili tupigue hesabu ya mapato ili walipe Kodi?Remittances are taxed ama unadhani kupokea pesa ni bure? Do tourists pay corporate tax when they visit your country? Usiwe mjinga bana.
Kenya Ina GDP kubwa kuliko Angola. Kenya has more millionaires than Angola, Kenya has more profitable companies than Angola. So what’s your point?Sasa unaweza fananisha angola na kenya?
Kwa hio 3billion USD unadhani local tourism ndio ilichangia pesa nyingi that's why foreign tourism can not make it to your imaginary list ya services?Sababu earning ya tourism kwa Kenya ya 3usd bil Ina include pia domestic tourism ukiweza kuleta figure ya domestic na foreign tourism earning ntakupa sababu why is it not included
Si Juzi niliona mkitamba hapa ati despite Kenya having bigger GDP bado Tanzania ina budget same na Kenya? Gab ya $12B ndio mnaita same?
Nimetafuta hiyo 4.8 bil usd ambayo imeingia kwa uchumi wa Kenya kwenye hiyo article yako sijaona na hata hiyo 12 ni wewe uliyeiweka.Kwa hivyo hio 4.8billion earned from remittances ni guess work ya serikali? Do you know Phillipines is the biggest labour exporter in world pumping more than 12 billion dollars kwa economy. Kwa hivyo serikali yao hawajui hizo figures walitoa wapi?
![]()
NTV Kenya: Kenya, Qatar sign deal to streamline labour export to the Gulf
Kenya and Qatar have agreed to set up a Qatar Visa Centre in Nairobi to streamline the export ofntvkenya.co.ke