China is serious with TAZARA project, after losing the Lobitor corridor.What are they upgrading with $1.4b Kwa km zaidi ya 1000, ? If they are keen to invest, they truly have to invest, Hapo naona ni kujaribu sio kuwekeza
Hawana mchezo ndio maana hawajataka hata mambo mengi ya PPP wala mkopo wamechukua TAZARA watafanya revamping kwa miaka 3, then wataendesha kwa miaka 27.