Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona Mombasa inaongelea watu pressure hapa.

Mombasa.
1749709774335.jpeg
 
Kwani inafikiri hiyo ni lile guta lenu la mizigo Uhuru II? The most sophietocated high tech vessel in the Lake Victoria!
Bado ni ndogo. Construction ilianza Two years ahead of Uhuru II lakini Uhuru II being bigger than it is already operational.
 
Bado ni ndogo. Construction ilianza Two years ahead of Uhuru II lakini Uhuru II being bigger than it is already operational.
Uhuru ni ya mizigo weka metal sheets on the outside kazi kwisha. Hapa tunaongelea sophistications kwaajili ya passengers comfort, marine security, cargo and roro logistics in one place.
 
Back
Top Bottom