Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Hamna Marina Mombasa mpaka i-park kwenye silos? Au imekuja kushusha au kubeba sembe?
Hamna Marina Mombasa mpaka i-park kwenye silos? Au imekuja kushusha au kubeba sembe?
Yaan Wana wastaan wa abiria 1.8 kwa mwaka treni za abiria Zina jumla ya trip 6 na hazijaziTembo mweupe!!!!
Nangoja cargo launch mie maana huwa wanasema hatuna cargo sie!Yaan Wana wastaan wa abiria 1.8 kwa mwaka treni za abiria Zina jumla ya trip 6 na hazijazi
Sgr tz trip 10 kwa siku na bado ni ngumu kupata ticket kwa siku
Hapo ukienda shabiby kumejaa🤣🤣🤣Nangoja cargo launch mie maana huwa wanasema hatuna cargo sie!
Kwani Shabiby anabeba cargo? Ana biashara ya haulage? Yaani trucks?Hapo ukienda shabiby kumejaa🤣🤣🤣
AbiriaKwani Shabiby anabeba cargo? Ana biashara ya haulage? Yaani trucks?
nilikuwa naongelea treni ya mizigo!Abiria
Ata baada ya kumjibu utamuona na the same same question 3 months from now.Serena Beach Resort
Cowrie Shell
Pride Inn
Meli ndogo mnajenga miaka nane.
Pesa za zile apartments zitaanza kuwatokea puani soon. Nyie Non-NATO allies
View: https://x.com/SokoAnalyst/status/1933041450876387716?t=-tBlisCjXpMNwXK0xkA8DA&s=19
Yaan Wana wastaan wa abiria 1.8 kwa mwaka treni za abiria Zina jumla ya trip 6 na hazijazi
Sgr tz trip 10 kwa siku na bado ni ngumu kupata ticket kwa siku
Imagine ndo miji yenye idadi kubwa ya abiria kuliko mjii wowote Kenya huwa najiuliza ikifika hata huko malaba itakuwa treni moja inaendana na mabehewa 3 yasiyojaaKaribia abiria 150000 kwa mezi na abiria 5000 kwa siku hapo ni pamoja na kupika daka hadi zimeiva