Uko sahihi.Unajua Tanzanians hawana tamaduni za kupiga piga picha miundombinu, ni kama suala jipya tu, that’s why miradi mingi inaendelea na hata watu hawajui what is going on, na ndio mana hata miji yetu watu hawajui ni mikubwa kiasi gani na inafananaje kwa picha za juu.. hii Dar yenyewe around 60% of it hakuna picha zake humu, ni yale maeneo machache ndio kuna picha zake kidogo mno, lakini Dar is very huge city. Labda bertin akipata drone anaeza onyesha dunia ukubwa wa miji yetu, coz anajitahidi kufanya vizuri sahii.
Kigamboni humu haipo,Ununio haipo,Goba haipo,Mbezi makabe humu haipo ni maeneo mengi sana hayapo.
Na maeneo yote hayo yamejengeka to the fullest.
Tanzania hatuna kawaida ya kujitangaza kwa vitu vingi.