Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lindi iko kusini mwa Tanzania na Tanga mashariki kaskazini mwa Tanzania.
Sio hapo tu,nenda Mkoa wa Pwani ukanda wa Bagamoyo pia.
What’s their population? Why are you just throwing words around you Mr. Quack?
 
Teargass Kwikwikwikwikwi

1749641380465.png
 
Mtanzania will tell you that Jonathan Jackson the owner of 88 Nairobi Condominium is not a Kenyan lakini Mo Dweji and Rostam are Tanzanians. Jonathan was born in Eldoret, Studied in Kenya and still does everything in Kenya. So kwao Jonathan sio Mkenya lakini Mo Dweji is a Tanzanian😂😂


View: https://youtu.be/elrG9geIk_Y?si=1N3Gqi_dpUxb83ZV

He is a British.

He is in Kenya for the money.

Screenshot_20250611_145037_Chrome.jpg
 
We ni msenge umetaka utajiwe wanapatikana wapi wewe unataka idadi??
Tanzania huwa tunafanya sensa ya nchi sio ya kikabila.
Na WASHIHIRI ni miongoni mwa wananchi.
Yes, population is very important. Saa hii ukiniuliza population ya Somali ethnic group in Kenya I will tell you. Sio hizo zenu za kupachika pachinko Alafu unataka tuwaamini.
 
Teargass nairobae Tunataka mlete mambo kama haya:- 👇 👇 👇 👇

Tanzania’s Sino Tan Industrial Park (plans to complete the entire park by 2027) – A Mega Industrial Zone in the Making (covers 2,500 acres, and construction has reached 80% completion)​

Upon completion, the industrial park is expected to host:
200 large-scale industries
300 small-scale industries
Once fully operational, the park will generate:
100,000 direct jobs
500,000 indirect jobs
USD 6 billion worth of manufactured goods
 
Tulianza kumsema Rostam juu ya tabia yenu ya kusema Kila mara tunamilikiwa na foreigners. Wacha unafiki. Mnamchukia Teargass kwa sababu anatumianga logic yenu kuwapiga vibare.
Ila si ni kweli mnamilikiwa na foreigners, wazungu wanamiliki mashamba yenu makubwa yenye rutuba huku wakilima chai!
Wengine wakiwa wamejificha kwenye mgongo wa "Dual citizenship" 😂😂😂

View: https://x.com/bbcafrica/status/1179671613035466752?s=46
Logic gani huyo Uncircumcised baboon anayo, mbona ni utoto tu ako nayo!
 
Back
Top Bottom