Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona muoga .?unapost hadi jengo moja moja.? 🤣🤣🤣🤣🤣 ushuzi wa vigorofa vilivyooza all around mombasa village center unataka ulinganishe na Chuga.? The green city.? 🤣🤣🤣
Proper city🤣🤣🤣🤣🤣🤣..,.next???., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
Umeshinda pumzika, nimetii walai🤣🤣🤣.,hii ni proper city indeed!!🤣🤣🤣
IMG_7427.jpeg

IMG_7428.jpeg

IMG_8765.jpeg

Nimetii🙏🤣🤣🤣
 
Bwana govi alituambia huu uwanja wa Arusha bado watu wanachimba msingi. 🤣🤣🤣🤣
Ila kwa hili naipa heshima Tanzania.
Yani inafanya mambo kimya kimya baadaaee mnakuja kushangaa vuuup watu wanakaribia mwishoni mwa kazi.
Mie mwenyewe sikujua kama uwanja umefika mbali hivyo kiujenzi.
Nilikaribia kuamini kwamba bado unajengwa msingi.
 
Back
Top Bottom