Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Image
 
WE even have Whites who ditched their passport, for a Tanzanian one
So you celebrate when foreign born inmigrants acquire TZ passports but you are against Kenyans acquiring US passports.. ok .. I get you ..😄
 
Ila kwa hili naipa heshima Tanzania.
Yani inafanya mambo kimya kimya baadaaee mnakuja kushangaa vuuup watu wanakaribia mwishoni mwa kazi.
Mie mwenyewe sikujua kama uwanja umefika mbali hivyo kiujenzi.
Nilikaribia kuamini kwamba bado unajengwa msingi.
Unajua Tanzanians hawana tamaduni za kupiga piga picha miundombinu, ni kama suala jipya tu, that’s why miradi mingi inaendelea na hata watu hawajui what is going on, na ndio mana hata miji yetu watu hawajui ni mikubwa kiasi gani na inafananaje kwa picha za juu.. hii Dar yenyewe around 60% of it hakuna picha zake humu, ni yale maeneo machache ndio kuna picha zake kidogo mno, lakini Dar is very huge city. Labda bertin akipata drone anaeza onyesha dunia ukubwa wa miji yetu, coz anajitahidi kufanya vizuri sahii.
 
Back
Top Bottom