Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Expressway haina magari and other stories.

Image
 
Baadhi ya Mashirika na Makampuni yaliyotoa Dividend leo

Twiga Minerals = Tsh 99B
Airtel Tanzaia = Tsh 73.9B
NMB = Tsh 68.1B
PUMA = Tsh 13.5B
TPDC Tsh 11.7B
NBC Tsh 10.5B



TPA = Tsh 181.5B
NIDA = Tsh 38.8B
TFS = Tsh 29.8B
BRELA = Tsh 20.4B
TCRA = Tsh 19.2B
TASAC = TSh 16.3B
OSHA = Tsh 10.4B
Tpdc and Tpa should lead the way .
TPDC is underperforming au punching below its weight .
 
Asante Kwa Render
Huu uwanja hautajengwa
Hakuna uwanja wa 60k unaezajengwa kwa miezi 18, Ruto anawadanganya
Huu uwanja hautatoka Kama render
Uwanja unajengwa Ki jua Kali

Someone else to add what these idiots said about Talanta. By the way the building is 45% complete.


May be an image of silo
 
Asante Kwa Render
Huu uwanja hautajengwa
Hakuna uwanja wa 60k unaezajengwa kwa miezi 18, Ruto anawadanganya
Huu uwanja hautatoka Kama render
Uwanja unajengwa Ki jua Kali

Someone else to add what these idiots said about Talanta.


May be an image of silo
leta evidence kuna mtu alisema hayo!
 
Yet Wasomali wenye wameishi Kenya hata kabla your forefathers waje Tanzania mnasema sio Wakenya sivyo?
Hakuna mtu amesema wasomali waliokuwa Kenya, sio Wakenya. Kwa unafikiri hatujui kwamba kuna wasomali wa asili kabisa huko Garissa na Wajir!?
Tanzania kwenyewe kuna wasomali wazawa, na ni maarufu na wanaliheshimisha Taifa na tunajivuna nao kwa kazi nzuri wamefanya.

Hayo sio mapigo yetu.....ni yenu wenyewe!!
 
When our currency dropped to Ksh 168 against the dollar and our GDP dropped to $104 billion hamkutupita. Sahii pesa yenu ya madafu inaendelea kuporomoka hadi mumeban the use of foreign currency lakini bado inaendelea kuanguka. Kwenu kuna chomeka lakini umekazana kuweka mapua pasipokuhusu.
Unabonga as if Kenya's GDP has been higher than TZ forever
 
Back
Top Bottom