babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
Mtu kazaliwa Singida Tanzania halafu yeye kwa sababu ya wivu wake anasema sio Mtanzania. 😂😂😂Am talking about nationality here.
Which nationality is Mo Dewji?
Hizi kondoo ubaguzi na ukabila ni maisha yao ya kila siku.