Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wasomali ni wakenya?
Yes. Because they are within Kenyan borders. Somali counties makes almost 1/4 of Kenya by land mass. Wewe Ebu tuonyeshe clan ya Mo dweji, ebu tuambie ni wapi in Tanzania tUkienda tutapata people like more dweji in thousands or millions. Just show us that region.
 
Yet Wasomali wenye wameishi Kenya hata kabla your forefathers waje Tanzania mnasema sio Wakenya sivyo?
Mimi na nani nimesema hivo?
Na hata huyo aliyesema hivo nakumbuka ilitokana na nyie wakunya kuanza kusema kina Mo na Rostam sio Watanzania.
Mna ubaguzi wa kipuuzi na kishamba.
 
Mimi na nani nimesema hivo?
Na hata huyo aliyesema hivo nakumbuka ilitokana na nyie wakunya kuanza kusema kina Mo na Rostam sio Watanzania.
Mna ubaguzi wa kipuuzi na kishamba.
Mo na Rostam sio watanzania.
 
Hata Stamico sasa hivi wana hela sana
Hawa watoto wa STAMICO

1749631772204.png
 
Sisi hatuna mashindano ya GDP, mkitaka andikeni kabisa $200b
Basi Mbona mnaumia na GDP yetu? Vile mlireduce gap 2yrs back Mbona mlisherekea? Mnatamani kuwa na GDP kubwa kuliko Kenya lakini uwezo ndio hamna.
 
Mimi na nani nimesema hivo?
Na hata huyo aliyesema hivo nakumbuka ilitokana na nyie wakunya kuanza kusema kina Mo na Rostam sio Watanzania.
Mna ubaguzi wa kipuuzi na kishamba.
Tumesema akina Mo na Rostam sii Watanzania baada ya nyinyi kusema tunamilikiwa na Wazungu, Wahindi na Wasomali. Naweza kutolea post niliyosema hao sii Watanzania. Mnapenda kutwist vitu sana nyie
 
Feeder roads ni vumbi tupu. Nyumba zimebanana kama nyumba za slums. Plot ya 50 by 100 munajenga nyumba tatu. Dar is a slum is the most unplanned city in Africa.
Naelewa maumivu yako. 🤣🤣🤣 there is million streets in naipori zenye ni vumbi tu, na wala hakuna mtu wa ku pretend humu ati all of our streets in Dar zipo na lami.
 
Back
Top Bottom