Nani anatamani kuenda taifa fukara ukanda huu? tukiangalia idadi ya wakimbizi wa kutokea mataifa ya East Africa, Warundi, Rwandese, Wakongomani, South Sudanese, Ethiopians, na Wasomali; idadi ya wakimbizi kutoka haya mataifa ni kubwa sana Kenya kuliko taifa yoyote EAC.., na sio wanao ishi ndani ya refugee camps, walio mitaani ni wengi sana, Tanzania yenyewe ni kubwa lakini mtu akipita anaona ufukara wazi wazi anapita anakimbilia Kenya., jiulize ni kwa nini?.., mko na laana flani, pia omba omba wenu wanawakimbia!!