Akili ya mtanzania ni kama imejaa uji, so wewe unafikiria eti Kenya imeshindwa kulisha huyu mzee ama ni jukumu lake mwenyewe na watu wa ukoo wake? ameshindwa kujimudu, kwa vile ni Mzee and a widower(alie fiwa na mkewe), anaenda kuokota mabaki ya mahindi kwa Airstrip ya Taveta(kiwanja ndege), umaskini wa mtu binafsi, so serikali iwatafutie Kisha iwapikie na iwalishe, idiots🤣🤣🤣🤣., the fact that anaokota imported maize shows uwezo wa Kenya kununua, watu wa ukoo wake wako wapi?.., mbona wasishughulikie wazee wao? Kwani Kuna jambo mbaya alifanyia watoto wake ili wamwache ahangaike peke yake uzeeni? ama hana watoto na wajukuu?..,
Kwa hizi fikra zako, ebu nielezee hawa👇👇👇 watoto wavalishwe na serikali ya Tanzania eti? ama ni mujibu wa wazazi, jamii yao, haswa watu wa ukoo wao?., so Tanzania ni fukara haiwezi kuvalisha watoto wa shule? Kwa huu👇👇 ufukara tulaumu nani?., nielezee wewe..,
View attachment 3363176
So kwa fikra zako utasema serikali ya Tanzania imeshindwa kuwavalisha watoto wao eti? Stupidity, ability to comprehend a situation mko zero karibia nyote,🤣🤣🤣🤣🤣
Na hawa👇👇👇 je? Tulaumu serikali ya Tanzania, Watanzania(jamii na ukoo) ama mtu binafsi??., tunajua Tanzania ni taifa yenye misingi ya Ujamaa, hawa imekuaje?.., mbona sioni wakenya wakienda kuomba omba mitaani Tanzania?
Tulaumu nani? Ufukara wa Tanzania,(uchumi hafifu), ama jamii na ukoo ya hawa👇👇 watu?
View attachment 3363178
View attachment 3363179
View attachment 3363180
View attachment 3363182
View attachment 3363183
View attachment 3363184
View attachment 3363185