And what your " tuko nafuu kuliko Kenya" mentality solved?.., hadi mafukara wanakimbia nchi wanaenda nchi jirani🤣🤣🤣🤣., ukiona panya ya sewage inatembea nje, on top of the ground jua nyumbani hakukaliki., ndio hawa sasa., dhibitisho kwao kubaya zaidi
View attachment 3363234
View attachment 3363236
View attachment 3363235
Unajitetea eti?.., na Kuna video evidence 🤣🤣🤣🤣.., jibu swali, tulaumu nani? The Citizen newspaper 👆👆 inachapishwa na waandishi wa Tanzania, editor ni Mtanzania.., so??
Wewe jibu., tulaumu nani kwa incidences kama hizo? Serikali, watu binafsi ama ukoo wao?..,