Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Ushatahiriwa bwana govi.? 🤣🤣🤣 umetawaza leo.?
Ushatahiriwa bwana govi.? 🤣🤣🤣 umetawaza leo.?
All these are less than 20,000m2.Hizi hapa malls mpya within Dar.
1. Dar village mall (mikocheni) U/C
2.Ocean view mall (masaki) U/C
3.Kunduchi mall (kundichi) U/C
4.Morocco square mall (Morocco) opened this year.
Geza Ulole kwa mwaka huu hizo ndio malls za hapa mjini ninazozijua.
Ushatahiriwa bwana govi.? 🤣🤣🤣 umetawaza leo.?
Pole., Eastleigh inaelekea kukua zaidi ya posta yenu.., ujenzi left right and center. Ngoja miaka 25-30 mbele ndio Dar ifikie Nairobi..,Kuna Eastleigh nyingine zaidi ya hii hapo kunyastan?
View attachment 3362196
Thanks for finally accepting that Moh is an Indian.Moh is Indian origin but Tanzanian nationality.
As well as Rishi Sunak former prime minister of UK Indian origin but English man in nationality.
Don't twist things.
Ndoto za alinacha 🤣🤣🤣, eti malls., fyata kabisaaaLikija suala la malls kwasasa sisi ndio leaders in this region. Dar iko na mall kubwa na za kisasa kuliko Naipori.
Ndani ya mwaka huu pekee tunazo 4 new modern and bigger malls in Dar.. how many malls do you have in Naipori, you expecting to open them this year.?Ndoto za alinacha 🤣🤣🤣, eti malls., fyata kabisaaa
Ebu tuonyeshe hizo malls. I want us to comoare Dar top 10 malls with Nairobi’s top 10 malls.Likija suala la malls kwasasa sisi ndio leaders in this region. Dar iko na mall kubwa na za kisasa kuliko Naipori.
Heb ngoja kidogo. 🤣🤣🤣summery hii haoa 👇🏾hizi gorofa ni kama mtaa mmoja tu within kariakoo.. gorofa nzuri ni kama kumi hivi the rest ni uchafu mtupuPole., Eastleigh inaelekea kukua zaidi ya posta yenu.., ujenzi left right and center
View attachment 3362392
View attachment 3362391
View attachment 3362396
View attachment 3362397
Nenda ukatahiriwe budaa, sijadiliani na magovinda…Ebu tuonyeshe hizo malls. I want us to comoare Dar top 10 malls with Nairobi’s top 10 malls.
Hamjafika where Kenya is umeqnza kubweka humu.., kilaza kwa ubora, linaona organized estate mara ya kwanza Tanzania, unadhani ndio basi, lishamba🤣🤣🤣🤣🤣, in fact Malls nje ya Nairobi are far more than Tanzania yoote,(tukiondoa Nairobi)., Kenya sio mwenzenu, ngojeni miaka 30 mje tusemezane..,Ndani ya mwaka huu pekee tunazo 4 new modern and bigger malls in Dar.. how many malls do you have in Naipori, you expecting to open them this year.?
Naona baboon anaogopa. There is no day Dar will even reach quater of what Nairobi has in terms of malls.Nenda ukatahiriwe budaa, sijadiliani na magovinda…
Umekua mtu wa maneno matupu sana. Husasan ukishauona umelemewa..🚮 empty talks sio mahali pake hapa kwasasa. Nice try buddy.Hamjafika where Kenya is umeqnza kubweka humu.., kilaza kwa ubora, linaona organized estate mara ya kwanza Tanzania, unadhani ndio basi, lishamba🤣🤣🤣🤣🤣, in fact Malls nje ya Nairobi are far more than Tanzania yoote,(tukiondoa Nairobi)., Kenya sio mwenzenu, ngojeni miaka 30 mje tusemezane..,
Wee bhana nenda katahiriwe 🤣🤣🤣Naona baboon anaogopa. There is no day Dar will even reach quater of what Nairobi has in terms of malls.
Yaani unadhani hapo ndio Eastleigh, section tofauti sana, sasa na hapa👇 utasema ni wapi dogo., sehemu nyingine tofauti🔥🔥.,.,Heb ngoja kidogo. 🤣🤣🤣summery hii haoa 👇🏾hizi gorofa ni kama mtaa mmoja tu within kariakoo.. gorofa nzuri ni kama kumi hivi the rest ni uchafu mtupu View attachment 3362399
Ukweli mtupu, mbishi tokea asubuhi hadi jioni, January to December., unabishana na facts., chizi fresh wewe🤣Umekua mtu wa maneno matupu sana. Husasan ukishauona umelemewa..🚮 empty talks sio mahali pake hapa kwasasa. Nice try buddy.
Facts zisizoonekana..? 🤣🤣🤣 nimekuwekea list ya shopping malls in Dar tunazofungua this year.Ukweli mtupu, mbishi tokea asubuhi hadi jioni, January to December., unabishana na facts., chizi fresh wewe🤣
Sikia chukua hizi section zote mbili. 👇🏾Yaani unadhani hapo ndio Eastleigh, section tofauti sana, sasa na hapa👇 utasema ni wapi dogo., sehemu nyingine tofauti🔥🔥.,.,
View attachment 3362402
Na hapa👇👇(ukielekea upande wa California estate)., kilaza anadhani anaijua Eastleigh 🤣🤣🤣🤣🤣
Nje ya Dar CBD haupati hii kiwango., 🔥🔥
View attachment 3362403
Eastleigh ya leo inaelekea kuipiku Dar CBD., mko na CBD moja., hakuna sehemu nyingine imejengeka zaidi ya hapa., 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 3362409
Primitivity, no wonder wewe ni baboon.Wee bhana nenda katahiriwe 🤣🤣🤣