Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The most beauful football stadium in Africa. 👇🏾
IMG_8058.jpeg
IMG_8583.jpeg
IMG_8589.jpeg
IMG_8588.jpeg
 
Eating everything while posted in a diamond platnumz’s youtube account? Utakua unaumwa mdondo wewe!
It seems you didn’t understant anything i said bwana Methuselah. Look for your grandchildren to translate for you what i said.
 
Hizi hapa malls mpya within Dar.
1. Dar village mall (mikocheni) U/C
2.Ocean view mall (masaki) U/C
3.Kunduchi mall (kundichi) U/C
4.Morocco square mall (Morocco) opened this year.

Geza Ulole kwa mwaka huu hizo ndio malls za hapa mjini ninazozijua.
 
Huo ndo utofauti , ulitembelea miji mingi ya Kenya Ina umaskini wa hali ya juu.
Mfano unaonekana hata kwenye namna tunavyosafiri. Ukienda kupata magari yanayoelekea kwenye towns za tana river,wajir,turkana na kadhaa huchelewi kupanda na mbuzi ama kuku kwenye basi, sasa imagine magari hayo ndo yanatokea mji mkuu Tena mji wa kibiashara.
Hivi Leo hii utapata gari linaloanzia dar kwenda mji wowote libebe mbuzi kweli
Umedanganya, mbona mnapenda kujiliwaza hivyo?.. Itawachukua miaka mingi kuifikia level ya Kenya kwa ujumla., masikini jeuri hawa🤣🤣.
 
🤣🤣 me nilikua nime teas tu ili mkenya abishe nimbararue. Any ways. Hiyo mall mbona inakaribia kuisha tu, Ipo masaki near yatch club. 👇🏾.
View: https://vm.tiktok.com/ZMSDN9QJr/.

An upcoming Mall in Eldoret, kuongezea kwa zingine, more sleek and humongous.., Malls ni anasa Tanzania, Kenya kawaida sana🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250609-182440.jpg
 
Back
Top Bottom