Umejipiga bunduki ya mguu mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
Umejipiga bunduki ya mguu mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
shida ni nginjangnja utakaaje kwenye ubao for good 8 hours tena bila AC lazima kiuno na matako yaumie hiyo ndio sababu kuuSasa kama wanashindwa kujaza hayo tukiwapelekea emu hata Moja hawawez fikisha hata robo behewa.
Kumbuka hizo siti ni sawa na 80,000 tsh
Sasa kupita expressway ni kitu cha ajabu? We use expressway almost everyday wakati wewe bado unaokota takataka. Chokoraa hii.View attachment 3355670View attachment 3355672
Kunyalazy umeiona britam katika sehemu 2 tofauti,kwa umaskini wenu.most of kunyalazy hawajawahi kupita kwenye hiyo expressway
Ng’ombe ni ng’ombe tu.logistics Centre is basically a mall with storage space.
Viwanja gani unaongelea? Ama those 20k seater cowshades the size of Kwale Stadium?Tuogope nn wakati tuna viwanja viwili vinajengwa plus bus terminal in Arusha!
Uchumi mkubwa una set targets za revenues kama uchumi mdogo 🤣🤣🤣Maji yanaanza kujitenga
Budget ya Tanzania vs Kenya 2025/2026
Feature Tanzania 🇹🇿 Kenya 🇰🇪 Revenue Target (USD) $19.5 billion $21.2 billion Debt Servicing (USD) $5.5 billion $11.2 billion Budget Focus Tech efficiency, debt, domestic revenue Deficit reduction, infrastructure, social sectors
Ng’ombe ni ng’ombe tu.
View attachment 3355681
View: https://youtu.be/pO5IfOWxBcw?si=MKhc43oiuqOBhoI0
Lazima tu ingekuwa garbage in garbage out When it doesn’t favor you. How many times have you shared AI informations here?You trust AI sio?
Garbage in garbage out.
Sasa kupita expressway ni kitu cha ajabu? We use expressway almost everyday wakati wewe bado unaokota takataka. Chokoraa hii.
Nimeishia hapo uliposema Eastleigh has more constructions than Kariakoo.Where did I say Nairobi is busier than Kariakoo? First of all, I wouldn't even compare Nairobi to Kariakoo. Nairobi is a big city, Kariakoo is a small area in a big city. We compare Nairobi to Dar, not to Kariakoo...........and yes, Nairobi is busier than Dar. I'm not even the only one who noticed that. Most travellers to the two cities say that.
Yes, and I still stand with that. From what I saw, there is more construction in Eastleigh than Kariakoo. Teargass has at some point posted area views of Eastleigh here and you saw the amount of green nets there. My point is, it's interesting how you find a discussable POV like Eastleigh having more construction than Kariakoo unfathomable yet you are 100% okay with someone saying something as absurd as 'there is more construction in Kariakoo than the whole of Nairobi' (that I was responding to). Najua ni ligi but let's be serious sometimes.
What has Dar's population got to do with this discussion? Alafu mbona unarudisha huu mjadala and I once came with statistics ukakataa kudiscuss ukasema you won't go that route so why are you bringing it now in an unrelated post? Again, sijawai sema Dar haina watu 8M, niliweka statistics zangu kwamba Nairobi metro built up area has 8.2M nikakuuliza uweke statistics za Dar ukakataa mjadala sasa nashangaa mbona unauleta in an unrelated discussion.
Shida yako inakuwanga moja instanbul, you say something, someone disagrees with it unamuita mbishi even when whatever you are saying is top grade absurdity. Nakumbuka kuna siku ulipost humu Parliament road ya Nairobi - a perfectly good road, no potholes, good sidewalks, good drainage, even surface, well marked. A road that you could take anywhere on this planet and it would fit without needing any maintenance alafu unasema ni njia mbovu eti it was a testament of how bad Nairobi roads were. I disagreed with your opinion and you called me mbishi.
Sawa bro. 👍🏾Nimeishia hapo uliposema Eastleigh has more constructions than Kariakoo.
Mimi nadhani nikuache tu
From a Nigerian. Wanasemanga sisi Wakenya tunachukiwa Africa nzima.
View: https://www.youtube.com/watch?v=AGhJIOEn3D0
Nenda kamweleze hayo kwa channel yake. Mimi nimepitisha tu ujumbe. After all, even if I make a counter paragraph of mine disputing your hogwash with facts utaniita tu mbishi alafu useme "wacha nikuache". 🤣Kwan alifukuzwa yeye au activists wa Kenya?
Watu wengi wamekuwa praising Kenya for views because wanajua vile mnataka sifa.
Anasema Zuchu alisema hatacoraborate na mkesha kisa Samia kusemwa. Hio video iko wap? . Yaani mnatengeneza propagandas zenu na media uchwara ili kuplay victims. And we know your aim is to destroy Tourism industry ya Tanzania kwamba iwe termed sio safe by the west after seeing Toursim is booming in Tz. Leo nimeiona mnasema Mpango kajiuzulu. Yaan msipocontrol hizo media zenu zitawarudisha 2007 muuane tena.
Mmeshupaza shingo kwa activists ambayo hawajashow evidence yoyote.
Vip kuhusu Hali hii Kenya few weeks ago
View attachment 3355730