Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Yaani kwakweli tunapoelekea sisi sijui!! Ila hali ni mbaya sana kila kitu hovyoWaeleze machawa humu, akili zimeduaa hawaoni tatizo ni kusifia ujinga tu🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ndugu zangu fikra Zenu na ufahamu wenu upo wapi? Au kwasababu nyinyi hamtumiagi Mwendokasi ndiomana MNAONA ninsawa kusifia ujinga na kumpotezea matatizo ambayo ni halisi?? Badala ya sisi kukemea na kupaza sauti tupo humu tunajifariji eti kuepuka kuchekwa na Wakenya!! Ajabu!!Hapa Chalamila kachemsha, yeye ndiye mkuu wa usalama Dar, order iko wapi? Ona sasa anampa ammunition huyu mkora nairobae asiyejua 'githafu' kuja kutusumbua hapa.
Kweli kabisa kaka. Yaani Director na Waziri wa uchukuzi Bure kabisa. Yaani mradi mkubwa kama huu ambao ulikua unawapa mapato ya kutosha ni wakuuchezea hivi???! Afu mtu yupo hapa na ukunguni wake kutetea uozo!!?Sio Chalamila tu hata director wa huu mradi ni Athumani, bure kabisa!
Naongea kwa uchungu sana!! Yaani Mimi ni Mtanzania wakawaida daladala, bolt na mwendokasi ndio maisha yangu. Yaani mwendokasi ni kero, kanga kubwaa huwezi sema eti ngoja niwahi sehemu nikapande mwendokasi Bora ubolt au upande daladala. Kwanza Waziri wetu wa Uchukuzi kapoa sana. Pale kivukoni mpaka Leo mwaka unaenda wa tatu MV. Magogoni haijarudiKweli kabisa kaka. Yaani Director na Waziri wa uchukuzi Bure kabisa. Yaani mradi mkubwa kama huu ambao ulikua unawapa mapato ya kutosha ni wakuuchezea hivi???! Afu mtu yupo hapa na ukunguni wake kutetea uozo!!?
Utakufa bure na pressure, yaani mitaa karibia yoote ilifanyiwa ukarabati zamani, pia na slums, but Tanzania iko pale pale inazidi kuongezeka kisa ufukara unasambaa jijini kutoka vijijini 🤣🤣👇View attachment 3354085View attachment 3354087View attachment 3354088
Hapo wanaishi binadamu au nguruwe?
Kukubali ukweli ndio mwanzo wa kupata nafuu., omba mpate kiongozi wa kuwakomboa kiukweli.Yaani kwakweli tunapoelekea sisi sijui!! Ila hali ni mbaya sana kila kitu hovyo
Yaani kwakweli tunapoelekea sisi sijui!! Ila hali ni mbaya sana kila kitu hovyo
Wacha kuongea uongo uongo we matako. Usituletee siasa humu sio mahali pake.Naongea kwa uchungu sana!! Yaani Mimi ni Mtanzania wakawaida daladala, bolt na mwendokasi ndio maisha yangu. Yaani mwendokasi ni kero, kanga kubwaa huwezi sema eti ngoja niwahi sehemu nikapande mwendokasi Bora ubolt au upande daladala. Kwanza Waziri wetu wa Uchukuzi kapoa sana. Pale kivukoni mpaka Leo mwaka unaenda wa tatu MV. Magogoni haijarudi
Naona umeamua kutuhukumu wote bila sababu, umenisoma lakini na kuelewe niliposema viongozi wetu wamechemsha kwenye huu mradi?Hivi ndugu zangu fikra Zenu na ufahamu wenu upo wapi? Au kwasababu nyinyi hamtumiagi Mwendokasi ndiomana MNAONA ninsawa kusifia ujinga na kumpotezea matatizo ambayo ni halisi?? Badala ya sisi kukemea na kupaza sauti tupo humu tunajifariji eti kuepuka kuchekwa na Wakenya!! Ajabu!!
Mwendokasi mbagala Barabara mpaka zinaanza KUHARIBIKA na mastendi yake bado hazijatumika.
Sasa unajua umri wangu ?… and how has that to do with your beggar status ?..kiatu kimoja kizee na choo la shimo nje …😄😄Bwaku ngaji unajua hata wakenya wenzako wamekudharau,umri wako na personal yako uliotuonyesha humu aviendani
Wacha kuongea uongo uongo we matako. Usituletee siasa humu sio mahali
Ahaa. Nimekuelewa mkuu. Ila sasa primary objective ya BRT sio usafi wa kubadilisha mandhari ya jiji ni kurahisisha Usafiri na kupunguza muda from one point to another.Je BRT bado inaoperate hivyo?? Thus my take. Sio huyo mropokaji hasomi akaelewa anaanza kutoa maneno machafu na kinywa chake kisicho na hekima Very hopelessNaona umeamua kutuhukumu wote bila sababu, umenisoma lakini na kuelewe niliposema viongozi wetu wamechemsha kwenye huu mradi?
Kwenye usafi wanafanya vizuri sana lakini usimamizi wanaharibu.
Ningekuwa na mamlaka ningeamuru wahusika wote wa mradi watumie usafiri huo kwa wiki moja ili waelewe wananchi wanavyoumia.
Ee kabisa ni 4.5 millionalaf wanaishi watu over 2.5million 😂😂😂
ndio maana inaitwa slum kubwa duniani
Peleka matako mbele, tafuta Uzi za siasa ukaongelee huko kama unajiona una akili. Unakuja kuongea humu kuna mkuu wa mkoa humu.? Kuna mkurugenzi humu.? Huu ni Uzi wa malalamiko.? Jinga kweli hili pungaIn the first place, usinitukane bcoz sijakutusi. Usitweze utu wangu tafadhali. Sasa ukweli ni upi? Yaani kuongea ukweli ni kufanya siasa? Hivi wewe unadhani kila mtu ni zero brain kama wewe. Nimeongea kitu ambacho nimeexperience unless otherwise niongope Ili iweje? Utajua wewe na ujinga wako. Ila uhalisia ndio huo hadi picha zinajieleza halafu uko hapa kuongea pumba!! Jamii forums imepoteza ladha yake kutokana na wajinga kama wewe.
Hapo ni tandale 😅View attachment 3354089
Sio mbali hapo na naislums cbd
🤣🤣 jamaa wanahangaika balaa, kumbe hio pia iliwauma..? Taifa la vilaza linachoweza kufanya kwasasa ni wivu na propaganda. 🤣🤣🤣