Sehemu gani?Nairobi haina rika.
This is not Westlands, Kilimani, Upperhill or CBD. Mpwimbe si ulisema unajua Nairobi, hapa ni wapi? 🤣
View attachment 3352070
Kwani tena hujui Nairobi? 🤣🤣Sehemu gani?
Mimi ni mtanzania my brother .. na hayo maendeleo yote ni mpango mkakati wa taifa langu, wewe ndio unaehangaika kupinga.Unifariji? Anayejifariji ni wewe
Hiyo ni aerial view, huwezi jua kama ni kama thika highway au sehemu myingineKwani tena hujui Nairobi? 🤣🤣
I thought yiu said you know Nairobi?🤣🤣Sehemu gani?
Thika road iko mbali sana na hapoHiyo ni aerial view, huwezi jua kama ni kama thika highway au sehemu myingine
So ikiwa ni aerial view huwezi jua? 🤣🤣 Wewe hakuna Nairobi unajua.Hiyo ni aerial view, huwezi jua kama ni kama thika highway au sehemu myingine
Sina muda wa kubishana na weweSo ikiwa ni aerial view huwezi jua? 🤣🤣 Wewe hakuna Nairobi unajua.
Maisha yenu magumu. Msituletee kugha zenu za kishenzi TZChecked into bongoslum....the beer is shityy😅😅😅
View attachment 3351983
sema hizi bajaji na bodaboda za kutoa kwa kweli!Hiyo pua alipatwa na nn?
Nunua kwanza simu upate picha Kali. 🤣🤣🤣Arusha is okay. But excluding the very long dual carriageway I can only compare it to Meru town and Nyeri town in Kenya. Beyond the main street uko ushago proper. Nowhere near Kisumu Naks Eldy...more like vashaView attachment 3352144
Unafananisha na towns mnaita cities huko Ukunduni na hazina 5 stars hotels!Arusha is okay. But excluding the very long dual carriageway I can only compare it to Meru town and Nyeri town in Kenya. Beyond the main street uko ushago proper. Nowhere near Kisumu Naks Eldy...more like vashaView attachment 3352144