Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama bongoslum hamkubaliwi kuweka flags on personal cars, na hio gari ina numberplates za bongoslum ina flag on a personal car. Jijazie basi hio ni gari ya nani.
Wewe sasa ndo unatakiwa utuambie kuwa hiyo gari inamilikiwa na ubalozi wa Tanzania - Kenya nyinyi SI mmedai baloz kashindwa kuweka bendera sabab ya kuogopa gen z.🤣🤣🤣
 
Wewe sasa ndo unatakiwa utuambie kuwa hiyo gari inamilikiwa na ubalozi wa Tanzania - Kenya nyinyi SI mmedai baloz kashindwa kuweka bendera sabab ya kuogopa gen z.🤣🤣🤣
Bendera imewekwa lakini imefunikwa, anaogopa nini na Kenya hua hatufichi bendera.🤣🤣
 
Balozi pekee ndio anakubaliwa kuweka flag kwa gari. So ushajijibu.
Umeambiwa leta proof hiyo gari yenye plate number za Tanzania ni mali ya ubalozi wa Tanzania na sio ya mtu binafasi aliyekuwa tembelea .
We only need a prove of Tanzania consulate owning that car na ilikuwa na balozi ndani?
 
Tsavo Apartment

1748609646086.png
 
lakini nikuulize mbona mkubaliwe mtawaliwe na wabunge wenye ni primary and high school drop out?ushwai kaa chini na mtu mwenye elimu ya kiwango cha chini ukasikia venye hufikiria na mwenye elimu ya juu ukaona tofauti? wacha tutoe tu siasa apa? nipe jibu mwafaka..
Their President is a form 4 leaver.
 
Balozi pekee ndio anakubaliwa kuweka flag kwa gari. So ushajijibu.
🤣🤣🤣🤣Elimu yenu ni ya ku shout "ruto must go" zaid ya hapo hamna kitu mnachojua.
Huwez kwenda kwenye foreign country ukiwa na private car , ukaanza simamisha bendera bila kujua utaratibu.
Mfano tu Tanzania regional commision letsay dar es salaam akiwa safari toka dar es salaam kwenda dodoma , akifika tu kwenye mpaka wa dar na pwani lazima dereva ashushe bendera maana anakuwa ameingia kwenye administrative area ya mtu mwingine.
Same to district commissioners .
Bendera Huwa inaonesha authority ya eneo husika, kama wewe SI mtawala katika eneo hilo huwez nyanyua bendera, hiyo kwa viongozi na bendera lazima ikae upande ambao kiongozi ataketi.
Waambieni walimu wenu wawafundishe elimu ya protocally hasa kwenye issue za viongozi
 
Maneno mengi ya nini na ushatuambia huko bongoslum hamkubaliwi kuweka flags on personal cars. Naona unaendelea kujichanganya na maneno hata haiko kwa discussion.
 
Umeelewa swali kwanza au umekurupuka. Hiyo gari ni ya Tanzania .
Evidence gani kuwa ni gari ya ubalozi wa Tanzania ?
Kwahiyo niliona gari yoyote yenye plate number za Kenya ni gari ya balozi wa Kenya?
Laiti ingekuwa inaplate number za ubalozi na imeshusha bendera sawa.
Kingine bendera ya kiongozi Huwa inapachikwa kama kiongozi yumo ndani ya gari ,kama hayupo sharti ushushe maana bendera Huwa ni utambulishk wa iwepo wa mhusika kwenye tukio husika.
Mfano gari inayombeba ruto ikiwa letsay inaenda gereji au popote kama ruto hayupo huwez ona bendera ya state house ikiwa kwa gari na ndo maana kwenye msafara wake ni gari Moja tu linakuwaga na bendera ya statehouse kuashiria uwepo wa rais kwa gari.
Kwani nyinyi shuleni mnafundishwa Nini🤣🤣🤣🤣?
Balozi katoka zake anaenda viwanja wanataka asishushe bendera! 😂😂😂
Muambie Bongo bado watu wanaheshmu bendera.
 
Kenya versus tanzania
Kenya is sometimes labeled a failed state due to various factors, including corruption, weak governance, and high levels of unemployment and underemployment, which can hinder economic development. While some argue Kenya is on a path of progress and growth, the persistent challenges of corruption and inequality lead to concerns about the country's stability and ability to effectively serve its citizens.
Here's a more detailed look at the reasons for this perception:
Corruption and Weak Governance:
Widespread corruption undermines trust in the government and hinders economic development. This can lead to the diversion of public funds, which can further exacerbate inequality and poverty.
High Unemployment and Underemployment:
A significant portion of the population is unemployed or underemployed, which creates a lack of opportunities and can contribute to social unrest and instability.
Security Concerns:
Certain areas of Kenya, particularly along the borders with Somalia and Ethiopia, are considered high-risk zones due to armed groups and kidnappings. This creates a climate of fear and can deter investment and tourism.
Political Instability:
Past election-related violence and ongoing political tensions can further weaken the state and raise concerns about its ability to maintain order and deliver services.
Inequality and Social Division:
Widespread inequality and social divisions can lead to tensions and make it difficult for the government to unite the country.
While these concerns are valid, it's important to acknowledge that Kenya has also made strides in areas like economic growth and technological advancements. However, these positive developments are often overshadowed by the persistent challenges mentioned above, leading to a perception of Kenya as a country at risk of failing.

Tanzania

Tanzania is not widely considered a "failed state" in the strictest sense, but some argue it faces challenges that could lead to that outcome. These challenges include persistent poverty, corruption, and issues with governance and the rule of law, according to the sources.
Here's a more detailed look at why some believe Tanzania is struggling:
1. Economic Challenges:
Poverty and Inequality:
Tanzania has high poverty rates and significant income inequality, impacting the overall well-being of its citizens.
Dependence on Agriculture:
A large portion of the population relies on agriculture, making them vulnerable to climate change and economic shocks.
Corruption:
Corruption can hinder economic development and the efficient provision of public services.
2. Governance and Rule of Law:
Limited Democracy:
While Tanzania has multiparty elections, there have been concerns about the fairness of the process and restrictions on political freedoms.
Weak Institutions:
Some argue that Tanzania's institutions, including the judiciary, are not functioning effectively and are subject to political influence.
Human Rights Concerns:
Reports indicate that there have been instances of human rights abuses, including restrictions on freedom of expression and the press.
3. Social and Political Issues:
Ethnic Tensions:
While Tanzania has a relatively stable political landscape, there have been concerns about the potential for ethnic tensions to erupt.
Environmental Degradation:
Resource depletion and unsustainable practices can further strain the country's ability to provide for its population.
4. Challenges Related to "Failed State" Indicators:
Inability to Provide Basic Services:
While Tanzania has made progress in expanding access to basic services like electricity, it still faces challenges in ensuring equitable access for all citizens.
Lack of Rule of Law:
Concerns about corruption and weak enforcement of laws can erode public trust in government.
Conflict and Instability:
While Tanzania has not experienced widespread civil conflict, the country faces potential risks related to resource competition and ethnic tensions.
In conclusion, while Tanzania is not a "failed state" in the strictest definition, the challenges it faces in economic development, governance, and human rights raise concerns about its long-term stability and the well-being of its citizens.
 
Maneno mengi ya nini na ushatuambia huko bongoslum hamkubaliwi kuweka flags on personal cars. Naona unaendelea kujichanganya na maneno hata haiko kwa discussion.
Wewe umeshindwa kuprove kwamba hiyo ni gari ya balozi watanzania sasa nani anaonekana kilaza🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeambiwa leta proof hiyo gari yenye plate number za Tanzania ni mali ya ubalozi wa Tanzania na sio ya mtu binafasi aliyekuwa tembelea .
We only need a prove of Tanzania consulate owning that car na ilikuwa na balozi ndani?
Ulishatuambia personal cars hazikubalishwi kuweka flag in Bongoslum. Naona sasa umeanza kuchange tune. Hujielewi wewe.
 
Back
Top Bottom