Hamna askari hapo 🤣🤣🤣Askari wa kenya wanyinge kweli. Hebu check huyu Askari kachezea kichapo toka kwa raia Kwikwikwikwikwi
View: https://x.com/Asamoh_/status/1928317545687179713
😍😍😍😍😍Tukiwaambia naislums is surrounding with slums uwa wanabisha,hii ni sehemu ndogo tu ya naislums ni full uswazi,binafsi ningekua mkunya huu uzi nisingetia neno ila hawa vichaa kwao uchafu kama huu kwao ni kawaida🤮
Imagine, investing EVERYTHING in Nairobi, but Nairobi still looks like that.Tukiwaambia naislums is surrounding with slums uwa wanabisha,hii ni sehemu ndogo tu ya naislums ni full uswazi,binafsi ningekua mkunya huu uzi nisingetia neno ila hawa vichaa kwao uchafu kama huu kwao ni kawaida🤮
No wonder you are a Primary School dropout, bure kabisa.Inabidi nikupeleke darasa la kiswahili wewe mbuzi. 🤣🤣🤣🤣
Hebu tueleze matumizi ya huna kuelezea negativity kwenye hiyo sentence uliyoandika . 🤣🤣🤣🤣
Wewe uliibiwa pesa darasa la kiswahili punda wewe. Enda uombe Ada uliyotoa.
So Eastlands ni Pipeline pekee?Eastlands ipi kuna nyingine zaidi ya hii?
View attachment 3350553
Uwa hawataki kabisa lile jiji lao lionekane kwa ariel view hawa mbwaImagine, investing EVERYTHING in Nairobi, but Nairobi still looks like that.
Stop comparing Kawangware na hiyo jehanamu. Kawangware is a slum but just like most slums in Nairobi, more than half of houses there are apartment blocks. Yani nyumba ziko na choo na bafu ndani yet it's still considered a slumHizo nyumba zako hazina shida yoyote. Ni rusting ya Iron sheets because of humidity ya Dar nothing else. Wakipiga Rangi hayo mabati hio sehemu iko poa tu.
Huwezi linganisha na slums za Nairobi let's Kawangware
Pole sana, Pipeline is not 0.1 % of Eastlands.Eastlands ipi kuna nyingine zaidi ya hii?
View attachment 3350553
Inaonekana Somali wameshavamia huko Kawangare.Stop comparing Kawangware na hiyo jehanamu. Kawangware is a slum but just like most slums in Nairobi, more than half of houses there are apartment blocks. Yani nyumba ziko na choo na bafu ndani yet it's still considered a slum
View attachment 3350637View attachment 3350638View attachment 3350639View attachment 3350640View attachment 3350642
Sasa linganisha hiyo Kawangware slum ni hizi hapa that dot your entire city View attachment 3350643View attachment 3350644View attachment 3350645View attachment 3350647
Aeleze nini? Hii unatuonyesha is just a small part of downtown Nairobi. The biggest and busiest commercial hub in East Africa. Hapo kunauzwa kila kitu na hakuna residential area kama Kariakoo.Heb ngoja kwanza. 🤣🤣🤣.. kuna yule fala mwenzako Alieomba picha za Dasilinga Akawa ana circle maeneo. Muite aje utueleze hii. 👇🏾View attachment 3349965
That is Kibera bongolala, an area measuring just 2.5 sqauare kilometers and the biggest slum in Nairobi. Nairobi is more than 1,500 square kilometers. Yani ukitoka tu hapo Kibera hivi, next step unaingia Lang'ataTukiwaambia naislums is surrounding with slums uwa wanabisha,hii ni sehemu ndogo tu ya naislums ni full uswazi,binafsi ningekua mkunya huu uzi nisingetia neno ila hawa vichaa kwao uchafu kama huu kwao ni kawaida🤮
Kujifariji rukhsaInaonekana Somali wameshavamia huko Kawangare.
Waondoe basi hizo nyumba za Mabati.
View: https://youtu.be/JwQrOKSdXpU?si=JePtUYvR9h4Oe6ci
Nakuuliza tena instanbul, nichoree CBD ya Dar kwa hii map.So TPA ilipo ndo main City Center?
Muulize NairobiWalker alitembea umbali gani na demu wake kufika hiyo TPA tower.
Hata ukiwa Kariakoo ilo jengo unaliona because ni tall. But kariakoo hadi hapo ni more than 2km
KIla mtu anajua, kenya ilishakufa baada ya Mwai kibakiKujifariji rukhsa
Unatumia nguvu kubwa sana. Ukiona unatumia nguvu kubwa sana ujue wewe ni failed state. KwikwikwikwikwiNakuuliza tena instanbul, nichoree CBD ya Dar kwa hii map.
View attachment 3350696
Atakuletea Nairobi metropolitan 🤣🤣🤣🤣Unatumia nguvu kubwa sana. Ukiona unatumia nguvu kubwa sana ujue wewe ni failed state. Kwikwikwikwikwi
Mkumbushe pia kwamba hiyo ndio mitaa za wale ndugu zao ombaomba. They are found on virtually every street in downtown Nairobi 🤣🤣🤣Aeleze nini? Hii unatuonyesha is just a small part of downtown Nairobi. The biggest and busiest commercial hub in East Africa. Hapo kunauzwa kila kitu na hakuna residential area kama Kariakoo.
Yenu ilikuwa kabla hata ya NyerereKIla mtu anajua, kenya ilishakufa baada ya Mwai kibaki
Maendeleo ya Tanzania yanaonekana kwa Necked eyes, But Kenya's progress is not visible even through a microscopeYenu ilikuwa kabla hata ya Nyerere
Wala haungeshinda humu ukitoa povu usiku na mchanaMaendeleo ya Tanzania yanaonekana kwa Necked eyes, But Kenya's progress is not visible even through a microscope
Kwikwikwikwi