ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,447
- 89,848
Usisahau factor kuu ya watu wa Mbeya-Wapambanaji na watata kweli kweli.Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Mmejaa kwenye mfumo mumebaki kulia lia mitandaoni.
Nchi yenu nzima mmejadili Tanzania wiki nzima sisi siku moja tu tumewajibu tena wabunge wachache wamefanya mnalia mitandaoni.
Zabibu, karanga, Alizeti wanalima wapi?Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Umewahi kufika Mpwapwa au Chamwino?Dodoma nje ya mji hakuna shughuli yoyote inayofanyika sababu ni pakavu balaa .
Mbeya mazingira yanaruhusu kilimo karibia msimu wote ndo maaana Kuna tofauti kubwa sana .
Ukiangalia mikoa mingi kama njombe ,songea,mtwara nyingi mapato yake ni mazao.
Ukiangalia mapato ya wilaya zote za mtwara 70% ni korosho+ ufuta+mbaazi+ karanga
Njombe miti
Songea mazao
Ooh sisi hatuishi kwenye mabweni, mara sijui boxes. All this just to comfort yourselves for lack apartments in Dar unlike Nairobi where they are everywhere. When a few such mabweni projects come up, they are shared here and we are being reminded how the 'boom' is back! 🤣🤣🤣 Mnachekesha sana watanzaniaSeems construction boom umerudi Dar es Salaam. Blue haven kigamboni. Coming up View attachment 3349282View attachment 3349281
Kwani hayo ni mabweni we mapumbu machafu.? Nani kakwambia hizo ni affordable housing.? Au umeumia.?Ooh sisi hatuishi kwenye mabweni, mara sijui boxes. All this just to comfort yourselves for lack apartments in Dar unlike Nairobi where they are everywhere. When a few such mabweni projects come up, they are shared here and we are being reminded how the 'boom' is back! 🤣🤣🤣 Mnachekesha sana watanzania
What do you mean nijifunze Africa? Enlighten meWewe nadhani kabla huja comment ujifunze kwanza Africa. Seems you are very stupid.
mbona kichwa kigumu wewe. Hapo nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia uwekezaji nje ya nchi lakini sasa sheria imeshafutwa most companies are starting to invest outside the country uliza Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Botswana na RDC kampuni kibao za TZ zimewekeza huko infact Ndio tunaanza now. Exim bank Tz Djibout, CRDD bank RDC and Burundi, NMB wanaplan ya EA expansionHaya kuna other areas like insurance with no protectionism, mbona msikuje kenya? Tofauti na omba omba, what else represent Tanzania in Kenya?
Excuses kibao. What stops your banks from investing in Kenya then Kama sharia ilishaondolewa na mkawekeza kwenye nchi zingine?mbona kichwa kigumu wewe. Hapo nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia uwekezaji nje ya nchi lakini sasa sheria imeshafutwa most companies are starting to invest outside the country uliza Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Botswana na RDC kampuni kibao za TZ zimewekeza huko infact Ndio tunaanza now. Exim bank Tz Djibout, CRDD bank RDC and Burundi, NMB wanaplan ya EA expansion
Hiyo pole imetoka baada ya Kenyans kuanza kulalamika kuwa working visa are not renewed Kasongo analenga remitansi. kumbuka a significant chunk of your remitansi comes from Tanzania.Mmepewa pole ya kimadharau alafu mnakuja kusherekea huku bila kujua maana ya “if” in that sentences. Nyinyi watanzania ni bure kabisa😂😂🤣😂
Vijamaa vioga kinoma, vinapigananasi while vimefunga nchi yao, halafu vinaulizia uwekezaji wetu huko kwao. 🤣🤣🤣 ujue hawa wakenya wa humu ndani ni mazuzu Sana.mbona kichwa kigumu wewe. Hapo nyuma kulikuwa na sheria ya kuzuia uwekezaji nje ya nchi lakini sasa sheria imeshafutwa most companies are starting to invest outside the country uliza Mozambique, Malawi, Rwanda, Burundi, Botswana na RDC kampuni kibao za TZ zimewekeza huko infact Ndio tunaanza now. Exim bank Tz Djibout, CRDD bank RDC and Burundi, NMB wanaplan ya EA expansion
Acha uongoTheir banks are only available in Burundi😂😂
Zabiba na alizeti sanasana tra ndo wanafaidi maana hakuna usafirishaji unaofanyika kwa wingi.Zabibu, karanga, Alizeti wanalima wapi?