na venye huo mtaa unanuka samaki wa kuoza?Huo mtaa unatoshana na whole Mombasa
Kuna samaki hapo ? Au unaandika kujifurahishana venye huo mtaa unanuka samaki wa kuoza?
Mbona kule JamiiForums.com hakuna discussion nzito kama hapa JF, inaonekana wengi ni watoto wa vyuo, mazungumzo yao ni mepesi sana, zaidi wanazungumzia sex na matusi, kule ni akili ndogo sana, hakunifai kabisaGoogle JamiiForums.com afu fuata link.
Kariakoo ni soko la kuuza samaki wewe. Wa wapi wewe?Kuna samaki hapo ? Au unaandika kujifurahisha
A lot of empty space on that sideMikocheni,Kijitonyama na CBD kwa mbaaali
![]()
Your discussing Bullshits !Kariakoo ni soko la kuuza samaki wewe. Wa wapi wewe?
Ndugu,, kule pia kuna sub-forums kama vile hapa Jf. Inategemea na section gani itakayokupendeza.Mbona kule JamiiForums.com hakuna discussion nzito kama hapa JF, inaonekana wengi ni watoto wa vyuo, mazungumzo yao ni mepesi sana, zaidi wanazungumzia sex na matusi, kule ni akili ndogo sana, hakunifai kabisa
hasira hasaraYour discussing Bullshits !
Ngara iko poa,Westland mmefeliMnaoabudu Kariakoo karibuni ngara
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe hujui westalandsNgara iko poa,Westland mmefeli
Picha zinasema mbona,sio pakutisha yaniWewe hujui westalands
Westlands ni number 3 after cbd na upperhillPicha zinasema mbona,sio pakutisha yani
Ndiyo sababu nikasema kule kuna wanafunzi wa vyuo zaidi, wanafunzi ndiyo wanaoishi maisha ya kufikirika yasiyo na uhalisia, sasa nchi ambayo mamilioni ya watu wanakufa kwa njaa, kipindupindu, insecurity, malnutrition, na wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe, vipi kuanza kuzungumzia nuclear badala ya hayo mambo ya msingi?Ndugu,, kule pia kuna sub-forums kama vile hapa Jf. Inategemea na section gani itakayokupendeza.
sasa wewe umechungulia jukwaa la mapenzi la huko unakuja na mihemko.
huko sisi huongea umuhimu wa Nuclear na Coal na jinsi gani itabadilsha dunia
Picha....Westlands ni number 3 after cbd na upperhill