concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Ukito unabaki na chenji ya km 100 ambazo itawachukua Karne kufikishaSasa bwana nairobae chukua hizi changanya na 150km of Dodoma outer ring road and dom inner ring road.. hesabu inakuja hapa👇🏾
150km+ 33.6km=183.6 km. Hizi ni kando ya zile carriage ways zinazoenda IKULU na Airport. na zile sections za CBD. 🤣🤣
Haya mombasa itatia pua hapo.? 🤣🤣